Tumbo kubwa..nilipunguze vipi? kwa njia ya vyakula lakini

usiseme yamekushinda jaribu.mimi kila jumamos na jumapili lazima

nifanye mazoezi siku za weekdays huwa nashindwa kwa sababu ya kazi

ila hata weekend huwa nakuwa mvivu lakin nikiwazia mwili wangu naamka bila kupenda tu

Kama una tatizo la high pressure,na unatamani ufanye mazoezi ili kupunguza tumbo,inawezekana?
 

Kuna uwezekano wa kupunguza tumbo tu?na sio kingine?
 

Ulipunguza kitambi tu,au na uzito?
 
Hello wanajamii! Nimekuwa nikipokea simu na ujumbe mwingi kuwa hii huduma bado ipo ama laa maana wanasoma post za tangu mwaka 2013. Napenda kuwajulisha huduma inaendelea na kuwapo kimya humu ni kutokana na kazi kuwa nyingi sana. Mtu akiwa na shida yoyote asisite kuendelea kunitumia ujumbe katika email ya ishealthy@hotmail.com au kunipigia kwa namba 0776491294/0713889162. Karibuni sana kwa moyo wa ukarimu sana nipo kuwahudumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…