anakutisha huyoooh...suruali zachangia kumbe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anakutisha huyoooh...suruali zachangia kumbe?
usiseme yamekushinda jaribu.mimi kila jumamos na jumapili lazima
nifanye mazoezi siku za weekdays huwa nashindwa kwa sababu ya kazi
ila hata weekend huwa nakuwa mvivu lakin nikiwazia mwili wangu naamka bila kupenda tu
kuna mama mmoja alikuwa na tumbo na weigh balaa.....kutoka 104 kilo
sa hivi ana 84.ni mtu wa mazoezi yeye hali wali wala ugali.akila ni siku moja moja
ndizi za kuiva nazo hali.....asubuhi anapiga glass ya maji vuguvugu 4.chai hanywi akinywa haina sukari kihivo
yeye anakula matunda sana sana na mboga mboga....chips,vyakula vya kukaangwa mafuta mengi nazo sio poa
ana DIET yake nimemwomba kuna shoga angu nae anasumbuliwa na tumbo + uzito akinipa nitakupa
Hahahaaa.. kazana ma'am.. kikubwa ni kujitahidi kukikataa then kila kitu kitakua rahisi kuliko unavyodhani..
Mi siku hizi nimezoea.. asubuhi lazima nifanye mazoezi..then Maji ya uvuguvugu yenye asali.Limao na mdalasini.. wanga na mafuta nimeshapumzika muda wa mwezi sasa...
Kitambi byebyee... no supplement wala nini...
Am really happy now..ukiniangalia utapenda.