Tumbo kubwa..nilipunguze vipi? kwa njia ya vyakula lakini

Seriously is this scientific au ? Maana hayo yote ni mafuta na kila aina ya zoezi linapunguza au ondoa mafuta (fat burn) the more you do the more you speed up metabolism too. Sasa ebu fafanua hii statement hapa chini tumbo kugeuka msuli ??

Ukianza mazoezi ya tumbo kwa sasa litageuka msuli halitapungua wala kuongezeka litakuwa gumu kama gunia la mchanga.
 
Mie tumbo langu naona limeshindikana
Asbh nafanya mazoezi kwa muda wa robo saa, naruka kamba na jogging, kabla sijatoka nakunywa maji ya moto yaliyochanganywa na asali. Nakunywa chai kama kawaida, mchana sili chakula ila nakunywa maji glass 6 hadi 8. Jioni nikirudi nakunywa tena maji ya moto yaliyochanganywa na asali. Uck nakula potion ndogo sana ya chakula na matunda kwa wingi lakini ndo naona tumbo linazidi. silipendi sijui hata nifanye, mazoezi ya situps yalinishinda


 
Mzizimkavu nami nitakutafuta


 
hii na iingie kwenye rasimu ya katiba mpya.

Watu wote na waseme amina.
kila nikutanapo na wewe vinyweleo vinasimama, mume wangu sitaki kuwa m3 anayetafutwa, haraka wahi chumbani nina hamu ujue...........!
 

Na asisahau kunywa grass ya maji ya uvuguvugu ki asubuhi anavyoamka
 
Nile vyakula gani ili tumbo langu lipungue yaani lirudie hali ya u flat kama zamani

mazoezi huwa najaribu lakini nashindwa kuendelea nayo kiukweli

msaada juu ya hili maana linanikera sana wakati mwingine

Kila ukiamka alfajiri kabla ya kufanya kitu tumia glass 1 ya maji moto ukiwa umekamulia Limao 1 na asali kijiko 1. Ukiweza unaweza kuweka pilipili manga kidogo.

Kinachotokea ni kuwa mchanganyiko huo unaongeza body metabolism kwa kiasi kikubwa sana japo utakuwa hujui na as a result process hiyo ina burn fat nyingi sana. Unaweza fanya hivyo na usiku kabla ya kulala na hata mchana.

Tumia sana salads za rangi na hasa matango na parachichi nk. Hivi tunaita high thermic foood. Ni vyakula ambavyo vikiingia tumboni digestive process inachukua calories za ziada na hivyo ku-burn fats.

Mafanikio Na Afya Njema itakupa details zaidi
 
hapa pana nihusu sana. Tumbo ni janga lolz

Mazoezi mimi sio mvivu but wakati mwingine kazi ndio zinabana.
Najiuliza tu, huwa napata changamoto ya kusema nakula mchana tu kwasababu nakuwa kazini na wakati mwingine hivi vyakula vya migahawani vinakuwa haviridhishi hili mna solve vipi wadau?

Pia ..kama nina uzito nilio rizika nao but nahitaji kukata tumbo tu which is the best exercise ukiacha sit ups.. NGULI all..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…