kilungula Member Joined May 6, 2014 Posts 23 Reaction score 5 Jul 24, 2014 #1 Wanajamii naombeni msaada. Mimi ni mwanamke wa makamo. Nina tumbo kubwa (Kitambi) hivi kuna mtu ametumia Clean 9 na imemsaidia? Naomba anijuze ili nami niweze kuitumia.
Wanajamii naombeni msaada. Mimi ni mwanamke wa makamo. Nina tumbo kubwa (Kitambi) hivi kuna mtu ametumia Clean 9 na imemsaidia? Naomba anijuze ili nami niweze kuitumia.
L loveleen JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 428 Reaction score 113 Jul 24, 2014 #2 acha kula vyakula vya mafuta pia pendelea kunywa maji ya moto mara kwa mara
kilungula Member Joined May 6, 2014 Posts 23 Reaction score 5 Jul 24, 2014 Thread starter #3 loveleen said: acha kula vyakula vya mafuta pia pendelea kunywa maji ya moto mara kwa mara Click to expand... Asante. Hiyo nitaifanyia kazi.
loveleen said: acha kula vyakula vya mafuta pia pendelea kunywa maji ya moto mara kwa mara Click to expand... Asante. Hiyo nitaifanyia kazi.