Tumbo kubwa

Tumbo kubwa

kilungula

Member
Joined
May 6, 2014
Posts
23
Reaction score
5
Wanajamii naombeni msaada. Mimi ni mwanamke wa makamo. Nina tumbo kubwa (Kitambi) hivi kuna mtu ametumia Clean 9 na imemsaidia? Naomba anijuze ili nami niweze kuitumia.
 
acha kula vyakula vya mafuta pia pendelea kunywa maji ya moto mara kwa mara
 
Back
Top Bottom