Tumbo kujaa gesi

hope hope

Senior Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
138
Reaction score
74
Habari jamani naomba kuuliza mimi nasumbuliwa na tumbo kujaa ges sana ambapo nilipima nkaambiwa nnao maambukiz ya bacteria h.pylor shida ni kuwa napenda sana pombe ila sa hvi siwez mana nkionja tu tumbo linajaa sana naomba mnisaidie labda ni bia gan nikinywa haitakuwa na shida mana yan najisikia upweke sana kuacha pombe .
 
Mkuu kwanza jitibie hayo maambukizi ya bacteria h.pylor kwani mwisho wake utakuja kupata vidonda vya tumbo na kutibika kwake itakugharimia sana. Kuliko wewe kuendekeza mapombe yasiyokuw ana faida yoyote ile.Ukitaka nikutibie hayo maambukizi ya bacteria h.pylor, Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +90-534-450-8169. Na kuhus Gesi kula punje 2 za kitunguu saumu kila unaposikia hiyo gesi tafuna hizo punje 2 za kitunguu saumu umeze na maji ya uvuguvugu gesi yako itaondoka.
 
mkuu nashukuru sema hayo mawasiliano ulionipa sijuh hata nakutafutaje ndgu
 
hizo namba za whatsapp za mzizmkavu mbna whatsapp sizion? kuna mtu ana utaalam wa jins ya kuingza hzo namba? mana zmekaa kitofaut sana.
 
izo punje unamenya alafu unameza kama dawa, kuhusu namba sio za bongo kama ulivozoea ni za nje kwa hiyo unapoziandika kwa ajili ya kuzi save usisahau kuanza na alama hii + ndipo utaziona whatts up
 
kwanini unavumilia ugonjwa wenye dawa ? tumbo likijaa gesi wewe jamba tu
sio siri hii ndio njia ninayotumia maana nimeshakunywa dawa kibao za hospitali lakini gesi haikuisha so ninachokifanya ni kila ikijaa najamba tu na hivi ofisini niko pekee yangu nashukuru sana mungu.Tatizo langu la gesi ni kubwa maana nikijisaidia haja kubwa najamba hata nikienda kujisaidia haja ndogo napo najamba ili nipunguze gesi
 
kujamba si kwamba sipend napenda sana mana ndo napata nafuu sema kuna saa hata kujamba hujambi lkin linajaa tu.
 
ahaaaa sipati picha hyo milipuko ya nyuklia
 

Kunywa bia yoyote baada ya kula na kushiba, tumia glass...yaani mimina usinywe kwenye chupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…