Habari jamani naomba kuuliza mimi nasumbuliwa na tumbo kujaa ges sana ambapo nilipima nkaambiwa nnao maambukiz ya bacteria h.pylor shida ni kuwa napenda sana pombe ila sa hvi siwez mana nkionja tu tumbo linajaa sana naomba mnisaidie labda ni bia gan nikinywa haitakuwa na shida mana yan najisikia upweke sana kuacha pombe .