Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi ni ugonjwa au ni kawaida kwa tumbo kua kama limejaa gesi au umeshiba muda wote hata umeze dawa za ktoa gesi hazisaidii kuna wakati unaweza fikiri ni mimba ukupima hakuna .hali hii inasababishwa na nini?
Abari yako...nime ona ulikuwa na hili tatizo...mimi pia lina ni tesa sana nilikwa nakuuliza pengine ulitumia dawa gani uka poa.?hivi ni ugonjwa au ni kawaida kwa tumbo kua kama limejaa gesi au umeshiba muda wote hata umeze dawa za ktoa gesi hazisaidii kuna wakati unaweza fikiri ni mimba ukupima hakuna .hali hii inasababishwa na nini?