Chabrosy
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 2,632
- 3,150
Wakuu habari kwema!
Nina mdogo wangu wakiume anamiaka 25 ana mchumba wake kampa mimba sasa huyu mchumba wa mdogo wangu shemeji yangu ana mimba ya miezi 2 yeye aba miaka 22 inamsumbua sana yani anaumwa kila siku anaumwa hasa tumbo yani anaumwa utamuonea huruma sasa huyu shemeji kachoka hii mimba inamsumbua sana anataka kuitoa sasa dogo ataki aitoe ila uyu mwanamke anataka kuitoa mimba mana inamsumbua balaa yani anaumwa hatari anashinda kulala kula hali anatapika balaa sasa aisi tunamwambia iyo kawaida vumilia ila ataki tuu kuvumilia anataka kuitoa kumbuka huyu shemeji ana mtoto wa miaka 2.
Akuzaa na dogo lakini kwaiyo hii mimba ni mimba yake ya 2 anasema yy ajawai pata mimba ikamsumbua hivi anataka itoa mimba sasa huyu mdogo wangu kapagawa ataki mwanamke wake atoe mimba yani hapa home tunapata shida balaa hivyo bac nilikuja kwenu mnisaidie jee kwa wataaalamu wa afya jee kuna mimba zina tesa mwanamke kiasi cha kutaka kuitoa??
Na jee itamtesa kwa mda gani?