Tumbo kuuma sana wakati wa ujauzito

Tumbo kuuma sana wakati wa ujauzito

Chabrosy

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,150
Wakuu habari kwema!

Nina mdogo wangu wakiume anamiaka 25 ana mchumba wake kampa mimba sasa huyu mchumba wa mdogo wangu shemeji yangu ana mimba ya miezi 2 yeye aba miaka 22 inamsumbua sana yani anaumwa kila siku anaumwa hasa tumbo yani anaumwa utamuonea huruma sasa huyu shemeji kachoka hii mimba inamsumbua sana anataka kuitoa sasa dogo ataki aitoe ila uyu mwanamke anataka kuitoa mimba mana inamsumbua balaa yani anaumwa hatari anashinda kulala kula hali anatapika balaa sasa aisi tunamwambia iyo kawaida vumilia ila ataki tuu kuvumilia anataka kuitoa kumbuka huyu shemeji ana mtoto wa miaka 2.

Akuzaa na dogo lakini kwaiyo hii mimba ni mimba yake ya 2 anasema yy ajawai pata mimba ikamsumbua hivi anataka itoa mimba sasa huyu mdogo wangu kapagawa ataki mwanamke wake atoe mimba yani hapa home tunapata shida balaa hivyo bac nilikuja kwenu mnisaidie jee kwa wataaalamu wa afya jee kuna mimba zina tesa mwanamke kiasi cha kutaka kuitoa??

Na jee itamtesa kwa mda gani?
 
Wakuu habari kwema...!!nina mdogo wangu wakiume anamiaka 25 ana mchumba wake kampa mimba sasa huyu mchumba wa mdogo wangu shemeji yangu ana mimba ya miezi 2 yeye aba miaka 22 inamsumbua sana yani anaumwa kila siku anaumwa hasa tumbo yani anaumwa utamuonea huruma sasa huyu shemeji kachoka hii mimba inamsumbua sana anataka kuitoa sasa dogo ataki aitoe ila uyu mwanamke anataka kuitoa mimba mana inamsumbua balaa yani anaumwa hatari anashinda kulala kula hali anatapika balaa sasa aisi tunamwambia iyo kawaida vumilia ila ataki tuu kuvumilia anataka kuitoa kumbuka huyu shemeji ana mtoto wa miaka 2.

Akuzaa na dogo lakini kwaiyo hii mimba ni mimba yake ya 2 anasema yy ajawai pata mimba ikamsumbua hivi anataka itoa mimba sasa huyu mdogo wangu kapagawa ataki mwanamke wake atoe mimba yani hapa home tunapata shida balaa hivyo bac nilikuja kwenu mnisaidie jee kwa wataaalamu wa afya jee kuna mimba zina tesa mwanamke kiasi cha kutaka kuitoa?? na jee itamtesa kwa mda gani???
Hospitali wamesemaje?
 
FANYA UJE NA MAELEZO YA KITABIBU BAADA VIPIMO NDIO TUJUE ATOE AU ASITOE
 
Mimba kusumbua wiki 12 za mwanzo ni kawaida. Ampeleke hosp atapata matibabu sahihi. Asijaribu kumeza dawa bila ushauri wa Dr/mfamasia.

Awahi hosp na azingatie ushauri atakaopewa. Ikiwezekana afanye kipimo cha Sonography aangaliwe mtoto kama kakaa vzr na pia aangaliwe asije akawa na ectopic pregnancy ili apewe extra care.

Kutoa mimba sio suruhisho, bali ataongeza matatizo ya mwili na saikolojia pia.
 
Asante mkuu asante sana...
 
FANYA UJE NA MAELEZO YA KITABIBU BAADA VIPIMO NDIO TUJUE ATOE AU ASITOE
Tulimpeleka hospitali kuna shindano alichomwa cjui za nn zile na dawa alipewa mimba wanasema mtoto yuko vzr tuu.
 
Mimba kusumbua wiki 12 za mwanzo ni kawaida. Ampeleke hosp atapata matibabu sahihi. Asijaribu kumeza dawa bila ushauri wa Dr/mfamasia.

Awahi hosp na azingatie ushauri atakaopewa. Ikiwezekana afanye kipimo cha Sonography aangaliwe mtoto kama kakaa vzr na pia aangaliwe asije akawa na ectopic pregnancy ili apewe extra care.

Kutoa mimba sio suruhisho, bali ataongeza matatizo ya mwili na saikolojia pia.
Mkuu hi ectopic pregnancy inakuwaje mwanamke akiwa nayo wanamtoa mimba au wanaisogeza kwny semu yake husika au wanafanyaje kwa case hii..
 
Kwa hiyo itakua kila akibeba ikimsumbua anatoa?

Wasichana wengine akili zao wanazijua wemyewe.
Analalamika anasema anaumwa kila siku yeye tuu yani kweli akili zake anazijua mwenyewe.
 
Mkuu hi ectopic pregnancy inakuwaje mwanamke akiwa nayo wanamtoa mimba au wanaisogeza kwny semu yake husika au wanafanyaje kwa case hii..
Ectopic pregnancy ni mimba inatunga nje ya uterus, so huwa inaambatana na maumivu makali mara nyingi. Hawaisogezi popote, just utashauriwa namna nzuri ya kuitunza mpk siku itakapopangiwa kuwa operated mpate mtoto wenu.
 
Aaaahbok sawa asante sana mkuu.
 
Wakuu habari kwema...!!nina mdogo wangu wakiume anamiaka 25 ana mchumba wake kampa mimba sasa huyu mchumba wa mdogo wangu shemeji yangu ana mimba ya miezi 2 yeye aba miaka 22 inamsumbua sana yani anaumwa kila siku anaumwa hasa tumbo yani anaumwa utamuonea huruma sasa huyu shemeji kachoka hii mimba inamsumbua sana anataka kuitoa sasa dogo ataki aitoe ila uyu mwanamke anataka kuitoa mimba mana inamsumbua balaa yani anaumwa hatari anashinda kulala kula hali anatapika balaa sasa aisi tunamwambia iyo kawaida vumilia ila ataki tuu kuvumilia anataka kuitoa kumbuka huyu shemeji ana mtoto wa miaka 2.

Akuzaa na dogo lakini kwaiyo hii mimba ni mimba yake ya 2 anasema yy ajawai pata mimba ikamsumbua hivi anataka itoa mimba sasa huyu mdogo wangu kapagawa ataki mwanamke wake atoe mimba yani hapa home tunapata shida balaa hivyo bac nilikuja kwenu mnisaidie jee kwa wataaalamu wa afya jee kuna mimba zina tesa mwanamke kiasi cha kutaka kuitoa?? na jee itamtesa kwa mda gani???
Mshauri akafanye ultrasound haswa kama bado anapata siku zake za hedhi
 
Back
Top Bottom