Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
Nenda mbali zaidi kuelezea kisayansi ngiri ni nini na inatibika vip.Jamani acheni kumzungusha mgonjwa hilo chango kaka,aka ngiri
Hiyo ni gesi tumboni..... chemsha sanamaki kiganja kimoja kunywa kikombe kimoja kutwa mara mbili siku 3Wana jf tumbo langu linaunguruma sana yaani waweza dhania nimemeza vyura kwani hukimbizana na kugonga kuta za tumbo.Sauti mpaka ninajishtukia kwani watu wanazisikia.Hivi tatizo ni nini?
Dada uko vizuri...Kuna gesi tumboni na hii inasababishwa na kula vitu ambavyo havijasagika vizuri unaoipa tumbo kazi ya ziada ya kusaga chakula
Ulisinzia mkuuDada uko vizuri...
Asubuhi nililala mkuu...mimi sio robot...ndio maana nakwambia sio kila post nakuwa wa kwanzaUlisinzia mkuu
Unajua kutoa ushauri vizuri ...hongeraLicha ya kukupa vitami C machungwa yana fibre ambayo inakusaidia kusafisha tumbo na kupata choo vizuri
HIYO SANAMAKI NI NINI?Hiyo ni gesi tumboni..... chemsha sanamaki kiganja kimoja kunywa kikombe kimoja kutwa mara mbili siku 3
Nenda duka la dawa asili ama dawa za kisuna upateHIYO SANAMAKI NI NINI?
Aisee nashukuru sana!Fasta ninaenda kuinunua!Nenda duka la dawa asili ama dawa za kisuna upate
Sasa kiongozi tutakula vyakula gani!Epuka vyakula vya protein, wanga na fat.
Hapo sasa,sijui mbadala ni upi!!!!Sasa kiongozi tutakula vyakula gani!