Tumbo kuunguruma kuna sababishwa na nini ?

Tumbo kuunguruma kuna sababishwa na nini ?

Wana jf tumbo langu linaunguruma sana yaani waweza dhania nimemeza vyura kwani hukimbizana na kugonga kuta za tumbo.Sauti mpaka ninajishtukia kwani watu wanazisikia.Hivi tatizo ni nini?
Hiyo ni gesi tumboni..... chemsha sanamaki kiganja kimoja kunywa kikombe kimoja kutwa mara mbili siku 3
 
Back
Top Bottom