msaada wana JF siku za karibuni nimekuwa napatwa na hyo hali ya tumbo kuunguruma pindi tuu ninapolala ila haliumi, sasa sijui tatzo nini? Msaada wenu
Simple.msaada wana JF siku za karibuni nimekuwa napatwa na hyo hali ya tumbo kuunguruma pindi tuu ninapolala ila haliumi, sasa sijui tatzo nini? Msaada wenu
c/s ndio nn mkuu?