Tumbo Kuunguruma wakati wa kulala

Tumbo Kuunguruma wakati wa kulala

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Msaada wana JF siku za karibuni nimekuwa napatwa na hyo hali ya tumbo kuunguruma pindi tuu ninapolala ila haliumi, sasa sijui tatzo nini?

Msaada wenu.
 
Afadhali yako wewe sisi wengine hata kwenye mkusanyiko wa watu wengi linaamua kuleta sifa tu kunguruma utadhani kuna mtu anapiga marimba humo ndani.
 
msaada wana JF siku za karibuni nimekuwa napatwa na hyo hali ya tumbo kuunguruma pindi tuu ninapolala ila haliumi, sasa sijui tatzo nini? Msaada wenu
Simple.
Utakua na hazina kubwa sana ya wanyama aina ya Simba tumboni mwako!
 
KING KONG III huwa nakunywa na ndo inakua kama nimeongeza petrol kwenye moto,linaongeza makal kbs
 
c/s ndio nn mkuu?

C/S ni culture and sensitivity test. kama results za routine na C/s test ni negative, tafuta Psyllium husk powder , weka kijiko kimoja cha chakula cha hiyo powder kwenye glass ya maji na unywe baada ya chakula kila siku kwa wiki 2. Ikiwa Psyllium haipatikani unaweza kutumia carrot juice. saga karoti moja kubwa kwenye blenda pamoja na maji kidog na uinywe yotel baada ya chakula, Kama juice haipandi unaweza kutafuna karoti yote baada ya kula.
 
Back
Top Bottom