Opot opot4
Member
- Jul 25, 2024
- 22
- 26
Mshana jr kamaliza hio ni ishara ya vidonda vya tumbo.mimi binafsi vidonda vya tumbo vilianza kwa dalili kama hio tumbo kuunguruma sanaa asubuhi njaa kali kama hujala.dawa ya vidonda vya tumbo tiba nimetoa humu humu jf na hakika inatibuDalili za vidonda vya tumbo pia
we nae viporo mie siliPunguza kula viporo maana vinasababisha Gesi
notedUna changamoto kwenye mfumo wako wa mmeng'enyo wa chakula.Probably Kuna acid nyingi inayotengenezwa ndiyo inasababisha Hali hiyo.Jambo Hilo likiendelea linaweza kukusababishia tatizo la vidonda vya tumbo.Kwa sasa jitahidi kunywa maji mengi,hususani wakati was asubuhi unapoamka.
okMshana jr kamaliza hio ni ishara ya vidonda vya tumbo.mimi binafsi vidonda vya tumbo vilianza kwa dalili kama hio tumbo kuunguruma sanaa asubuhi njaa kali kama hujala.dawa ya vidonda vya tumbo tiba nimetoa humu humu jf na hakika inatibu
Hii ilinikuta kipindi fulani kwaio ipo 100% sure kama anafanya huo mchezo🙌Nyeto hyo
ama ngulumbili ni kituko kweli,haya mie nasoma tu🤣Michezo hiyo kupenda visamvu tu
sasa carasco na putin wapi na wapi?Hii ilinikuta kipindi fulani kwaio ipo 100% sure kama anafanya huo mchezo🙌
okKapime kwanza! Usifanye makisio nenda kwa wataalamu
kwanini nikutukane?Nenda hospitali pima H. pylori , amoeba , au huenda una constipation ukikosa kimojawapo nitukane
Ni kweli lazima acheze humo ,bacteria mara nyingi ndiye hupenda kuleta minongono tumboniNenda hospitali pima H. pylori , amoeba , au huenda una constipation ukikosa kimojawapo nitukane