Opot opot4
Member
- Jul 25, 2024
- 22
- 26
Mshana jr kamaliza hio ni ishara ya vidonda vya tumbo.mimi binafsi vidonda vya tumbo vilianza kwa dalili kama hio tumbo kuunguruma sanaa asubuhi njaa kali kama hujala.dawa ya vidonda vya tumbo tiba nimetoa humu humu jf na hakika inatibuDalili za vidonda vya tumbo pia