Tumbo kuunguruma

Tumbo kuunguruma

Mara nyingi timbo langu huunguruma kama vile mtu anajamba,wakati mwingine nipo na watu basi ninaibu,hii inasababishwa na nini?
Vyakula unavyokula mkuu especially vyenye gesi, zingatia muda kula kwa wakati afu usile vyakula vya magengeni au vilivyopoa

(Ila mkuu nina waswasi kama ulitia mtoto wa mtu mimba ukamkimbia huenda hiyo ni karma🤣kama Ana mimba akipuu na nawewe tumbo linapuu)jokes
 
hayo yote uliyosema sifanyi,naishi na mie na sili nje ya nyumbani
 
Hii kitu nakumbuka iliwahi nitesa sana nikiwa collee.
The easiest way ya kuitibu ni kunywa a glass or 2 of water right after kuamka asubuh.
Kuna science hapo kati ya acid inayotengenezwa mdomoni while you sleep kukwenda kuua ma bakteria tumbon if you drink water after you wake up.
Haijawahi nisumbua tena
 
Mara nyingi tumbo langu huunguruma kama vile mtu anajamba,wakati mwingine nipo na watu basi ninaibu,hii inasababishwa na nini?
Tatizo lako kuna pipe itakua inaingiza upepo,suluhisho la kudumu ni kujipaka sabuni kisha ukague pancha kama tunavyokagua kwenye mipira ya baisikeli
 
Back
Top Bottom