haijulikani ila anasema anasikia tumbo linatokota na kuvuta pande za pembenilinauma wapi, pale penye kidonda, au?
duh, basi atakuwa na vidonda vya tumbo la opereshenijuz kuna mdada from manyon naye alikuwa na uvimbe tumboni coz ya operation kujifungua
Sent using Jamii Forums mobile app
kwel mkuu.Kipindi cha baridi huwa yanawasumbua sana. So ajaribu kujikinga sana dhidi ya baridi.