Tumbo la operesheni linasumbua sana

Tumbo la operesheni linasumbua sana

daneyodry

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
350
Reaction score
227
Heshima kwenu wakuu

Mdogo wangu alifanyiwa operesheni mwaka jana mwezi wa kumi, sasa anasema tumbo lake limekuwa likimsumbua tokea mwezi Mei mpaka sasa
na amepewa dawa za minyoo ila hakukuwa na nafuu
jamani anaefahamu kwa kina suala hili/ aliye na ushauri naombeni msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
linauma wapi, pale penye kidonda, au?
 
Kipindi cha baridi huwa yanawasumbua sana. So ajaribu kujikinga sana dhidi ya baridi.
 
Baridi ni hatari kwa mishono
Kukiwa na mawingu tu kidogo mishono huanza kuuma
kubwa ni kujikinga na hali ya hewa ya baridi.
 
Back
Top Bottom