Tumbo Langu lajaa gesi,hasa pale ninapokula! msaada plz!!!

Tumbo Langu lajaa gesi,hasa pale ninapokula! msaada plz!!!

Godfreymwasubila

Senior Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
108
Reaction score
8
Wakuu,dada yangu ana tatzo la kujaa gesi tumboni hasa pale anapokuwa amekula. Tatzo Ni nini kwa wanojua? nataka nimsaidie dada yangu
 
mwambie kwanza akapime vidonda vya tumbo
 
Mwambie asihofu kaishakua tajiri soon wawekezaji watakuja kuchimba
 
Back
Top Bottom