Tumbo lina nguruma kama kusikia vitu vinatembea vidonge umemeza hakuna msaada

Tumbo lina nguruma kama kusikia vitu vinatembea vidonge umemeza hakuna msaada

Brightg

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
372
Reaction score
662
Wengi wetu huwa tunakaa au umelala unasikia tumbo lina nguruma au kuna kama minyoo inasikika ikibishana huko ndani, huwa unaweza ukakaa na mwenzio ukasikia na yeye tumbo lina nguruma, mara nyingi huwa tunahisi labda huenda ni chakula hakijaiva na huenda ni dalili za kuharisha au maziwa tumekunywa hayakuwa mazuri na vinginevyo. yote haya yanaweza kuwa sababu lakini unapotafuta dawa ya kuzuia kumaliza tumbo kunguruma kutokana na sababu tajwa ila bado tatizo linaendelea.

Cha ajabu ukiangalia maisha yanaendelea kuwa mabaya, kuna wengine maisha sio mazuri wanaenda kwa waganga kupewa dawa za kuoga ila bado tatizo liko pale pale, sasa hapa kwa eperience tumebaini mambo kadhaa ambayo husababisha tumbo kunguruma siku zote na mara zote baada ya kutumia dawa za hospitali tukijua ni minyoo ila bado tatizo lipo.

Tulibaini 1. Huenda tatizo la tumbo kunguruma linaweza lika sababisha hata maisha kuendelea kuwa mabovu mpaka tatizo hilo litatuliwe na tumbo liache kabisa (jinsi ya kufanya na kuhakikisha halingurumi tena na kinachotokea baada ya tumbo kunguruma tuatfafanua zaidi)

2. Huenda maisha kuendelea kuwa mabovu kuna husika na ndani ya mwili na si nje ya mwili (Tutafafanu akwa undani zaidi)

Wengi wakienda kutafuta suluhisho huwa wanaenda na swala la minyoo na kusafisha tumbo lakini bado tatizo haliondoki linabaki pale pale tu, wengine wamesingizia kunywa maziwa freshi ndio yanajaza gesi.

Wengi wetu huwa tunasema tumbo limejaa gesi tuna tafuta dawa za kuondoa gesi hata hivyo bado kuna kuwa na ngurumo. VItu kama tumbo ku nguruma vyaweza kusababishwa na ZONGO, au kula kitu ambacho kiliuzwa ambapo chini yake kulikuwa na Hirizi ya kuvutia wateja au kuna maji ya dawa ya kishirikina iliwekwa kwenye chakula husika au kunyunyuziwa ili wateja wakila wapate hamasa ya kuendelea kwenda kuwaungisha kila wiki au kila siku, pia vyakula vyenye gesi vyaweza kusababisha tumbo kunguruma na kujaza gesi.

Sasa Hapa tuzungumzie nje ya vyakula vyenye gesi, vyakula visivyokubaliana na vidonda vya tumbo na... tuzungumzie tu baada ya vipimo vyote na dawa za pharmacy mtu ametumia bila mafanikio.

Kuna aina ya dawa unaweza ukanywa ikafuta kila kitu hutakaa usikie tena mngurumo na kukufanya uwe mwepesi hata katika majukumu yako ujionee kila kitu kinaenda sasa, lengo kubwa la wanaokupa vyakula ambavyo vinasababishwa na tumbo kunguruma ni kuhakikisha wanapata kile ulicho nacho na kuwajia wao siku zote hadi utakapo pangua mwenyewe. unakula halafu unajisikia uwe unapata hela uwe unakula hapo tu maana yake nn hata nyumbani hupiki tena.

Ukisha kunywa hiyo dawa sasa ni jukumu lako kuwa makini sana kujua wapi pa kununulia vyakula na wapi sio, sasa kuna test ya kwanza ukitaka kujua sehem ilivyo na chakula kilivyo. Haya endapo tumbo halingurumi tena umepona kabisa, Ukila sehem asubuhi kariri, ukila mchana na jioni mfano tumbo likinguruma tena siku inayo fuata na lunaendelea jua sehem moja wapo hapo hujala chakula kizuri, sasa rudia tena kutwa nzima kanywe chai hapo usile mchana wala usiku kale kwako likiendelea kunguruma utajua ni ulipokunywa chai, lisipo nguruma nenda kale chakula cha mchana sehem ulipokula tena rudia zoezi mpaka utajua wapi sio na wapi pazuri, hata maeneo ya kuhemelea pia zingatia.

Usafi wa mwili ni kwa faida yako binafsi, usafi huu hukuachia njia nyeupe na urahisi wa kufikia malengo ya badae.

Kama una swali DM, ukitka kujua aina ya dawa njoo DM
 
Wengi wetu huwa tunakaa au umelala unasikia tumbo lina nguruma au kuna kama minyoo inasikika ikibishana huko ndani, huwa unaweza ukakaa na mwenzio ukasikia na yeye tumbo lina nguruma, mara nyingi huwa tunahisi labda huenda ni chakula hakijaiva na huenda ni dalili za kuharisha au maziwa tumekunywa hayakuwa mazuri na vinginevyo. yote haya yanaweza kuwa sababu lakini unapotafuta dawa ya kuzuia kumaliza tumbo kunguruma kutokana na sababu tajwa ila bado tatizo linaendelea.

Cha ajabu ukiangalia maisha yanaendelea kuwa mabaya, kuna wengine maisha sio mazuri wanaenda kwa waganga kupewa dawa za kuoga ila bado tatizo liko pale pale, sasa hapa kwa eperience tumebaini mambo kadhaa ambayo husababisha tumbo kunguruma siku zote na mara zote baada ya kutumia dawa za hospitali tukijua ni minyoo ila bado tatizo lipo.

Tulibaini 1. Huenda tatizo la tumbo kunguruma linaweza lika sababisha hata maisha kuendelea kuwa mabovu mpaka tatizo hilo litatuliwe na tumbo liache kabisa (jinsi ya kufanya na kuhakikisha halingurumi tena na kinachotokea baada ya tumbo kunguruma tuatfafanua zaidi)

2. Huenda maisha kuendelea kuawa mabovu kuna husika na ndani ya mwili na si nje ya mwili (Tutafafanu akwa undani zaidi)

(TUTAENDELEA BADA YA DKA 20 HIVI)
Kama ujui unachotaka kutueleza tunakusubila dk zinaisha futa uzi wako!
 
Back
Top Bottom