tumbo linanikosesha raha!

tumbo linanikosesha raha!

pole mamii.kuna mazoezi yanaitwa sit up,ya kurudisha tumbo ndani.ingia youtube utaona step by step.ila sometimes,kunakuwa na excess skin sehemu ya tumbo.tafuta kitu kinaitwa spanx,unavaa,kabla ya kuvaa nguo,linabana sehemu ya tumbo.halafu unavaa nguo kwa juu.hongera kwa kupata mtoto
 
Wataalamu wanadai kama unaona halijakaa sawa unalifunga mpaka miezi sita iieshe,pia epuka kula tena vyakula vya mitori just go back to your normal diet
 
Pole sana, na mie ukiniona utadhani bado kidogo nijifungue kumbe wapi,nimefunga lakin nikawa napata maumivu makali sana ikabidi niache mwanangu japo akifikisha mwaka nifanye diet.sasa sijui ndio nazidi kuchemka au la?
 
habar zenu ndugu zangu! namshukuru Mwenyezimungu nimejifungua salama lkn hili tumbo limekuwa kubwa kiasi chakunifanya cna raha! nimelifunguka sana karibia miezi mitatu mfululizo nashkuru limerud kidogo lkn liko tepetepe kiasi kwamba km niliezaa watoto wengi kumbe ndio mtoto wa kwanza! nishaurini jaman nifanye nn ili ule utepetepe na kulegea uondoke?hata nkivaa nguo zangu hazikai vizuri!nakosa raha kabisa! natanguliza shukran

Hongera kwa kupata mtoto, kwa baadhi ya watu huwa inachukua mda ila punguza vyakula vya starch nyingi jaribu kula pale unaskia njaa sio kula hovyo na unapokula usile mpk ukashiiiba, ushauri mwingine punguza sukari asilimia 80 ya unayotumia sasa, kwa siku pata hata nusu saa ya kutembea kwa mwendo mkali sio taratibu bila kupumzika na fanya hata sit up 10 asubuhi na 10 jioni. matunda kwa wingi, na maji glass nane daily,my dia lazma utapata changes. mimi ndivyo vilivyonisaidia, mana ni mnene kiasi na nilifanyiwa operation watoto wawili, na mwili wangu lakini hamna tumbo na ndo maisha ninayoishi kila nikimaliza miezi sita baada ya kujifungua.
 
Back
Top Bottom