Nenda hospitali mkuu!
kumbe ushuzi una madhara hivi?GESI TUMBONI (COLIC): Ikiwa mtu atakula kwa wingi vyakula vinavyoleta gesi halafu vyakula hivyo visisagike vizuri tumboni, hukusanya gesi tumboni na kufanya mingurumo humo na kumsababishia maumivu, humkosesha mtu utulivu na kumfanya kutoka jasho na machovu bila ya kufanya kazi. Mtu hujisikia mara kwa mara aende haja kubwa na akienda hapati choo. Pia humsababishia mtu kuumwa kwa mgongo au kiuno. Ikiwa gesi hii itakosa kutoka kwa njia ya haja kubwa, basi yaweza kupanda juu na kufanya presha sehemu au karibu ya moyo na kusababisha maumivu ya moyo.
TIBA: Chukua asali robo lita , unga wa arki susi vijiko vitatu vikubwa na unga wa habat soda vijiko viwili vikubwa. Koroga zote pamoja kwa kijiko. Chukua vijiko viwili vya mchanganyiko huu ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto halafu yakishapoa unywe kikombe kimoja kutwa mara mbili asubuhi na jioni.
Usipotoka nje una madhara ukitoka nje ni poa usiuzuie kutoka huo ushuzi.Smile hujambo mpenzi?kumbe ushuzi una madhara hivi?
dah sijambo bwana kumbe mimi mpenzi wako loh? sema nina allegy na madokta ningekukaba weweUsipotoka nje una madhara ukitoka nje ni poa usiuzuie kutoka huo ushuzi.Smile hujambo mpenzi?
Usijali mimi humu ndani Katika wanawake wanaonivutia wewe wa kwanza Afrodent, na super Moderator RussianRoulette , na Feisbok. nimeipenda picha yako kama jina lako lilivyo naona na hiyo picha yako zinafanana. Kuna ubaya wewe kuwa rafiki mpenzi wangu?dah sijambo bwana kumbe mimi mpenzi wako loh? sema nina allegy na madokta ningekukaba wewe
your my best friend. siku nyingi mpenziUsijali mimi humu ndani Katika wanawake wanaonivutia wewe wa kwanza Afrodent, na super Moderator RussianRoulette , na Feisbok. nimeipenda picha yako kama jina lako lilivyo naona na hiyo picha yako zinafanana. Kuna ubaya wewe kuwa rafiki mpenzi wangu?
Thank you My Dear, you always welcome. :A S thumbs_up::lol:your my best friend. siku nyingi mpenzi
:welcome:
Usipotoka nje una madhara ukitoka nje ni poa usiuzuie kutoka huo ushuzi.Smile hujambo mpenzi?
dah sijambo bwana kumbe mimi mpenzi wako loh? sema nina allegy na madokta ningekukaba wewe
Usijali mimi humu ndani Katika wanawake wanaonivutia wewe wa kwanza Afrodent, na super Moderator RussianRoulette , na Feisbok. nimeipenda picha yako kama jina lako lilivyo naona na hiyo picha yako zinafanana. Kuna ubaya wewe kuwa rafiki mpenzi wangu?
dakika chache zijazo mtaanza kuwasiliana kwa PM na huko mtapeana namba za simu na baadae kwa simu.your my best friend. siku nyingi mpenzi
:welcome:
Thank you My Dear, you always welcome. :A S thumbs_up::lol:
eeeh! Tena nyie masista du ndio mnaonaga noma kuachia ushuzi! Shauri yenu ..hata obama anaachia ushu sembuse weye?kumbe ushuzi una madhara hivi?
Kichwa ngumu acha Wivu ehhhhhhdakika chache zijazo mtaanza kuwasiliana kwa PM na huko mtapeana namba za simu na baadae kwa simu.
wewe umeomba dawa umesaidiwa unaanza kuuliza origino ya jina,au pia una matatizo ya kusahau sahau nini.acha kufakamia mavyakula ovyo.thats the result of bad eating.punguza vyakula vyenye mafuta mengi,kunywa maji mengi,kula matunda na mboga za majani.kula ugali wa unga ambao haujakobolewa.punguza kula wali,na usile viazi mviringo.usishibe sana usiku.
nimekuwa nikisumbuliwa na tumbo kujaa gas na kuunguruma kwa muda mrefu sasa karibu miaka 10. Nimechoka na hii hali naombeni msaada wenu wadau.
kumbe ushuzi una madhara hivi?