Tumbo! Tumbo!

Tumbo! Tumbo!

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Nimekuwa nikisumbuliwa na tumbo kujaa gas na kuunguruma kwa muda mrefu sasa karibu miaka 10. Nimechoka na hii hali naombeni msaada wenu wadau.
 
Nenda hospitali mkuu!

Asante kwa ushauri mzuri mkuu TUKUTUKU,
samahani mkuu naomba uliza wewe ni mtu wa tabora, maana wakati nasoma pale tabora maji yakikatika tulikuwa tunaenda kuchota sehemu inayoitwa tukutuku.

In short jina lako limenikumbusha maisha ya tabora wakati nasoma advance
 
wewe umeomba dawa umesaidiwa unaanza kuuliza origino ya jina,au pia una matatizo ya kusahau sahau nini.acha kufakamia mavyakula ovyo.thats the result of bad eating.punguza vyakula vyenye mafuta mengi,kunywa maji mengi,kula matunda na mboga za majani.kula ugali wa unga ambao haujakobolewa.punguza kula wali,na usile viazi mviringo.usishibe sana usiku.
 
GESI TUMBONI (COLIC): Ikiwa mtu atakula kwa wingi vyakula vinavyoleta gesi halafu vyakula hivyo visisagike vizuri tumboni, hukusanya gesi tumboni na kufanya mingurumo humo na kumsababishia maumivu, humkosesha mtu utulivu na kumfanya kutoka jasho na machovu bila ya kufanya kazi. Mtu hujisikia mara kwa mara aende haja kubwa na akienda hapati choo. Pia humsababishia mtu kuumwa kwa mgongo au kiuno. Ikiwa gesi hii itakosa kutoka kwa njia ya haja kubwa, basi yaweza kupanda juu na kufanya presha sehemu au karibu ya moyo na kusababisha maumivu ya moyo.

TIBA: Chukua asali robo lita , unga wa arki susi vijiko vitatu vikubwa na unga wa habat soda vijiko viwili vikubwa. Koroga zote pamoja kwa kijiko. Chukua vijiko viwili vya mchanganyiko huu ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto halafu yakishapoa unywe kikombe kimoja kutwa mara mbili asubuhi na jioni.
 
kumbe ushuzi una madhara hivi?
 
Kunywa maji ya uvuguvugu first thing in the morning kabla ya kula chochote, kunywa the maximum hata lita moja ukiweza. Jiepushe mavyakula yenye gas, fanya mazoezi ya kutembea kidogo. Usikae na njaa for too long, your stomach get filled with gas.
 
dah sijambo bwana kumbe mimi mpenzi wako loh? sema nina allegy na madokta ningekukaba wewe
Usijali mimi humu ndani Katika wanawake wanaonivutia wewe wa kwanza Afrodent, na super Moderator RussianRoulette , na Feisbok. nimeipenda picha yako kama jina lako lilivyo naona na hiyo picha yako zinafanana. Kuna ubaya wewe kuwa rafiki mpenzi wangu?
 
your my best friend. siku nyingi mpenzi
:welcome:
 
Usipotoka nje una madhara ukitoka nje ni poa usiuzuie kutoka huo ushuzi.Smile hujambo mpenzi?

dah sijambo bwana kumbe mimi mpenzi wako loh? sema nina allegy na madokta ningekukaba wewe

Usijali mimi humu ndani Katika wanawake wanaonivutia wewe wa kwanza Afrodent, na super Moderator RussianRoulette , na Feisbok. nimeipenda picha yako kama jina lako lilivyo naona na hiyo picha yako zinafanana. Kuna ubaya wewe kuwa rafiki mpenzi wangu?

your my best friend. siku nyingi mpenzi
:welcome:
dakika chache zijazo mtaanza kuwasiliana kwa PM na huko mtapeana namba za simu na baadae kwa simu.

Thank you My Dear, you always welcome. :A S thumbs_up::lol:
 
wewe umeomba dawa umesaidiwa unaanza kuuliza origino ya jina,au pia una matatizo ya kusahau sahau nini.acha kufakamia mavyakula ovyo.thats the result of bad eating.punguza vyakula vyenye mafuta mengi,kunywa maji mengi,kula matunda na mboga za majani.kula ugali wa unga ambao haujakobolewa.punguza kula wali,na usile viazi mviringo.usishibe sana usiku.

katikati
 
nimekuwa nikisumbuliwa na tumbo kujaa gas na kuunguruma kwa muda mrefu sasa karibu miaka 10. Nimechoka na hii hali naombeni msaada wenu wadau.

pole ndugu yangu.mm pia ninatatizo hilo.ila nishapata suluhisho.chukuwa ukwaju tia maji ya kunywa,uchemshe,ukiwa tyr weka pembeni tia sukari ama asali ukipoa weka kwenye friji tyr kwa kunywa,hakikisha ni mchachu kabisa,fanya ndo kinywji chako.tahadhari
jitayarishe kujamba sana sana sana,na kuharisha,kuanzia hapo ufanye mdo kinyaj chako
 
Back
Top Bottom