johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
💯💯💯💯Hii awamu ya tano kiongozi bila kutumbua anajiona hajafanya kazi,
Kuna DED fulani mbabe jijini hapa Dar, waliposikia tu Jafo kabaki Uwaziri, kaugua wiki nzima.Hii awamu ya tano kiongozi bila kutumbua anajiona hajafanya kazi, wamegeuza hicho kitendo kimekuwa cha kawaida kama fasheni, wasiwasi wangu wasiwaonee tu hao wanaowatumbua.
Watendaji watawakumbuka Chadema maana walikuwa ndio sehemu ya kutafutia kiki hawa mawaziri.Kuna DED fulani mbabe jijini hapa Dar, waliposikia tu Jafo kabaki Uwaziri, kaugua wiki nzima.
Sijui kwa nini?
Kumbe muda mwengine una akili eh?Watendaji watawakumbuka Chadema maana walikuwa ndio sehemu ya kutafutia kiki hawa mawaziri.
Nadhani hata bunge " litadoda" sana!
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa.......wakati wote bwashee!Kumbe muda mwengine una akili eh?
Ilisemekana wako watatu, huyo mwingine ni nani?Vita ya urais, wanaamini ni zamu yao.
Huhitaji kusubiri mpaka bunge lianze kujua kuwa litakuwa halina mvuto. Hilo bunge natabiri litakuwa kama uji wa baridi usio na sukari. Wataishia kutunga sheria kandamizi ili kuingia kwenye mijadala ya wananchi, lakini hawatakuwa na jipya. Hayo ndio madhara ya kupata madaraka kisheria bila ridhaa ya umma.Watendaji watawakumbuka Chadema maana walikuwa ndio sehemu ya kutafutia kiki hawa mawaziri.
Nadhani hata bunge " litadoda" sana!
Maendeleo hayana vyama!
Ilisemekana wako watatu, huyo mwingine ni nani?
Ummy!Mimi hapa
Tunawashirikisha ACT wazalendo!Ulizaneni wenyewe huko ccm msitushirikishe sisi chadema.
Usisahau kutoa risiti kila uuzapo mitumba bwashee!Aise mpeni huyu johnthebaptist tuzo kwa kuandika nyuzi humu jf maana kwa siku anatupia nyuzi zaidi ya 10 huyu kijana ni mzarendo kwerikweri
Maxence Melo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Sawa na wewe wakikupa tuzo dai risitUsisahau kutoa risiti kila uuzapo mitumba bwashee!
Biteko wa madini piaWaziri wa Tamisemi Selemani Jafo siyo mgeni wizarani hapo amekuwepo tokea muhula wa kwanza wa Rais Magufuli kadhalika Waziri wa maji Juma Awesu alikuwa Naibu waziri kwenye wizara hiyo.
Nimefuatilia ziara za mawaziri hawa mikoani na kushuhudia wakipiga mikwara mizito kusimamisha kazi na kutumbua kana kwamba wao ni mawaziri wapya kwenye wizara zao.
Ndio najiuliza ni kutafuta kiki au kukosekana wapinzani ni tatizo?
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa.........!