Umenifanya nicheke mkuuKuna DED fulani mbabe jijini hapa Dar, waliposikia tu Jafo kabaki Uwaziri, kaugua wiki nzima.
Sijui kwa nini?
Ndivyo ilivyo bwashee!Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo siyo mgeni wizarani hapo amekuwepo tokea muhula wa kwanza wa Rais Magufuli kadhalika Waziri wa maji Juma Awesu alikuwa Naibu waziri kwenye wizara hiyo.
Nimefuatilia ziara za mawaziri hawa mikoani na kushuhudia wakipiga mikwara mizito kusimamisha kazi na kutumbua kana kwamba wao ni mawaziri wapya kwenye wizara zao.
Ndio najiuliza ni kutafuta kiki au kukosekana wapinzani ni tatizo?
Maendeleo hayana vyama!
Hata humu ndani wale lumumba wamedoda ile mbaya maana hawana wa kumzodoa na buku 7 imekata... [emoji23] [emoji23]Watendaji watawakumbuka Chadema maana walikuwa ndio sehemu ya kutafutia kiki hawa mawaziri.
Nadhani hata bunge " litadoda" sana!
Maendeleo hayana vyama!
Nafikiri bunge la chama kimoja mali linaweza kuwa challenging tu.Watendaji watawakumbuka Chadema maana walikuwa ndio sehemu ya kutafutia kiki hawa mawaziri.
Nadhani hata bunge " litadoda" sana!
Maendeleo hayana vyama!
uswahilini tunasema anacheza na mdundo wa muziki tu...kama ni singeli basi atavua shati au kama ni bolingo basi atachomekea shati ndo maisha hayoHii awamu ya tano kiongozi bila kutumbua anajiona hajafanya kazi, wamegeuza hicho kitendo kimekuwa cha kawaida kama fasheni, wasiwasi wangu wasiwaonee tu hao wanaowatumbua.
na tutapelekwa kweli mchaka mchaka na hawa jamaa maana mhh siwaelewi hata mwenywe wanatupeleka wapiNdiyooooooooooooooView attachment 1670335
Chadema wana nini mavi tuWatendaji watawakumbuka Chadema maana walikuwa ndio sehemu ya kutafutia kiki hawa mawaziri.
Nadhani hata bunge " litadoda" sana!
Maendeleo hayana vyama!
Aina ya wabunge wa 1990s ni tofauti kabisa na hawa chumia tumbo wa leo bwashee!Nafikiri bunge la chama kimoja mali linaweza kuwa challenging tu.
Kumbuka G55.
Watakua tu mkuu, na kuota meno.Aina ya wabunge wa 1990s ni tofauti kabisa na hawa chumia tumbo wa leo bwashee!
Sishangai watumishi kutumbuliwa,hasa Wizara ya Maji,ni wazembe mno na wengi wanafanya kazi kwa mazoea,weledi hamna.Kwa upande wa Aweso yeye kutumbua ni sawa,si alikuwa Naibu Waziri,so he was dancing to the tune of his boss.Muache kijana apige kazi wananchi wapate huduma bwana,tusianze kumkatisha tamaa,bora asionee kama ulivyo-sema.Hii awamu ya tano kiongozi bila kutumbua anajiona hajafanya kazi, wamegeuza hicho kitendo kimekuwa cha kawaida kama fasheni, wasiwasi wangu wasiwaonee tu hao wanaowatumbua.