kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Kwa dharau walizozionyesha Kwa kocha wetu mgunda, naishauri tumchangie FEITOTO kama reaction.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au Ni laana ya mgunda na feitoto Ila Yule msemaji wao tangu ajiunge nao akili zake sijui zimekuajeKwa dharau walizozionyesha Kwa kocha wetu mgunda, naishauri tumchangie FEITOTO kama reaction.
Bhana eeeh msituchoshe ninyi Mbumbumbu, kwanini tupangiane cha kufurahia?Kwa dharau walizozionyesha Kwa kocha wetu mgunda, naishauri tumchangie FEITOTO kama reaction.
Andazi lingine hili,Bongo wajinga wengi ukitaka pesa anzisha michango,au Sema maji haya yana upako au yanaongeza nguvu za kiume uone utavyopiga helaKwa dharau walizozionyesha Kwa kocha wetu mgunda, naishauri tumchangie FEITOTO kama reaction.
Kama unaota vile baada ya kile kipigo ila USM sio watu wqzuri hata hamjashusha makwapa chini kushangilia goli mkawekwaa mkachanganyikiwa kabsaBhana eeeh msituchoshe ninyi Mbumbumbu, kwanini tupangiane cha kufurahia?
Mayele mfungaji bora na mchezaji bora wa CAFCCL 2023.
Bingwa mpya wa CAFCCL rasmi 03/06/23 ni Yanga FC.
Kolowizards kama hamtaki mywe sumu na mufwe mazima ninyi, nimekaa pale [emoji117][emoji142].
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Matumizi mabovu kabisa ya akili kubishana na Mtu anayejiita KIBU DEE [emoji2]Kama unaota vile baada ya kile kipigo ila USM sio watu wqzuri hata hamjashusha makwapa chini kushangilia goli mkawekwaa mkachanganyikiwa kabsa
Hio ndio kazi mnayo weza kwa sasa mpira haupoKwa dharau walizozionyesha Kwa kocha wetu mgunda, naishauri tumchangie FEITOTO kama reaction.
Huwez bishana na kibu dee april 16 bado iko kichwani mwakoMatumizi mabovu kabisa ya akili kubishana na Mtu anayejiita KIBU DEE [emoji2]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Asitaniwe yeye nani?Kwa dharau walizozionyesha Kwa kocha wetu mgunda, naishauri tumchangie FEITOTO kama reaction.