Tumchukulieje baba huyu jamani?

Tumchukulieje baba huyu jamani?

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
5,456
Reaction score
1,567
Mama: Mume wangu unapenda kutumia kijiti cha meno ndio maana vinaisha haraka.
Baba: No mwanao Jose ndie anamaliza hivyo vijiti maana akishatumia anatupa mimi nikishatumia narejesha humo humo.
 
Anajua mkewe hataki vijiti viishe
 
Back
Top Bottom