Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,456
- 1,567
Mama: Mume wangu unapenda kutumia kijiti cha meno ndio maana vinaisha haraka.
Baba: No mwanao Jose ndie anamaliza hivyo vijiti maana akishatumia anatupa mimi nikishatumia narejesha humo humo.