Dp800
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 2,310
- 4,714
Tume hii ya Uchaguzi chini ya Jaji Mwambegele na Katibu wake Kailima.
Imejithibitisha bila kuacha shaka kwamba haiwezi kuendesha na kusimamia uchaguzi wa haki kwa vyama vyote.
www.jamiiforums.com
Kailima ni kada mtiifu wa CCM pia ni mteule wa Raisi Samia, hivyo kwa hali na mali anatumika kudhoofisha harakati za Chadema za "No Reforms No Election" na wapinzani wote kudai uwajibikaji wa Serikali katika Demokrasia waliyoiweka kwenye Katiba.
Naungana na msimamo wa chadema maana kuendelea kuipa ushirikiano Tume hii, ilihali inatiliwa shika na Chadema ipo kwenye mchakato wa kutafuta mabadiliko ya tume. Hivyo basi, Chadema imefanya vyema kutokuiunga mkono, kwani kufanya hivyo ni kuipa uhalali ambao haupo.
Mungu awabiriki sana. Hili nalo litapita
Imejithibitisha bila kuacha shaka kwamba haiwezi kuendesha na kusimamia uchaguzi wa haki kwa vyama vyote.
Napinga Ramadhani Kailima kuteuliwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi, ni Kada wa CCM
Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania. Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi. Ushahidi huu hapa akiwa na...