TUME HURU KWANZA.. Mambo ya KATIBA baadae..

TUME HURU KWANZA.. Mambo ya KATIBA baadae..

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
1,487
Reaction score
910
Tutumie Muda kiduuchu huu kabla ya 2014 Kuunda TUME Huru ya Uchaguzi. Mambo haya ya KATIBA Na Muungano tutatoana Damu watanzania ivi-ivi.

Tunahitaji kujenga KATIBA Kwa mustakabali wa watanzania wote. Bahari mbaya midudumtu imeshaingilia mchakato huu nyeti. Maslahi ya kisiasa Na ubabe yamepewa vipaumbele sana kwanye MCHAKATO huu. Ni wazi Kwamba hututa PATA Katiba ya Tanzania Bali katiba ya kundi flani la Kisiasa.
 
tume huru ni kifo cha haraka cha ccmajizi,watatumia hata nuclear bombs kuhakikisha haipatikani..
 
Back
Top Bottom