Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwenyekiti wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima amesema watatangaza majimbo mapya ya uchaguzi muda utakapofika.
Uchaguzi upi tena mtashiriki?Si mmedai mtazuia Uchaguzi. Huwezi kuziba jua kwa ungo.Huko ni kujidanganya.That is political science my dear, ndio historia yetu kwa vipindi kama hivi.
Uchaguzi unaokuja hutasikia mtu ametekwa, ameuawawa wala uwepo wa hila za aina yoyote.
No reform no election.....Mwenyekiti wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima amesema watatangaza majimbo mapya ya uchaguzi muda utakapofika.
View attachment 3300438
Tambua kuna uchaguzi na maigizo ya uchaguzi sasa sijui wewe unaongelea uchaguzi wa maigizo au uchaguziUchaguzi upi tena mtashiriki?Si mmedai mtazuia Uchaguzi. Huwezi kuziba jua kwa ungo.Huko ni kujidanganya.
Kwa hiyo miaka yote mlikuwa mnashiriki kwenye nini?Tambua kuna uchaguzi na maigizo ya uchaguzi sasa sijui wewe unaongelea uchaguzi wa maigizo au uchaguzi
Mwenyekiti wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ramadhan Kailima amesema watatangaza majimbo mapya ya uchaguzi muda utakapofika.
View attachment 3300438
Je hii Ina maana hata inachofanywa Sasa na Tume hiyo ni batili?Kwa mujibu wa Ibara ya 74 ya Katiba ya JMT, inatambua uwepo wa Tume ya Uchaguzi, yaani NEC LAKINI siyo Tume Huru ya Uchaguzi (INEC). INEC kwa mujibu wa Ibara hiyo ya Katiba ni Kitu BATILI kwani haitambuliki na Katiba. Marekebisho ya jina la Tume ya Uchaguzi kutoka NEC kwenda INEC yalipaswa kutanguliwa na Marekebisho ya Katiba iliyopo kwanza, hususani Ibara hiyo ya 74.
Katiba inasema kwamba kutakuwa na Tume ya Uchaguzi wala siyo Tume Huru ya Uchaguzi. Mabadiliko haya ya Sheria ya Uchaguzi yaliyosababisha kubadilisha jina la Tume ya Uchaguzi kutoka NEC kwenda INEC ni BATILI kwa mujibu wa Ibara hiyo ya 74 kwani Mabadiliko haya yanakinzana na matakwa ya Katiba ya nchi.
Kwa maana hiyo, Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania (INEC) ni Taasisi au kitu ambacho hakitambuliki na Katiba ya nchi hivyo ni BATILI KWA UJUMLA WAKE. Taasisi hiyo haitambuliki kisheria kwa mujibu wa Ibara ya 74 ya Katiba ya JMT