Awe mtumishi wa umma. Ukipata hii nafasi utapokea maelekezo kama yaliokuwa ya uchaguzi wa serikali za mitaa. yaani chagua moja tushinde wenye mamlaka au ukose kazi yako baada ya ushindi kwenda upizani.
Hawa watakuwa kama rimoti kwenye tv au redio.
Hizi nafasi wapewe majobless(wasio na ajira) tutaona uchaguzi huru na haki kabisa.
Hawa watakuwa kama rimoti kwenye tv au redio.
Hizi nafasi wapewe majobless(wasio na ajira) tutaona uchaguzi huru na haki kabisa.