GE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yatangaza ratiba ya vyama 14 kuchukua fomu za urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepokea barua kutoka katika vyama vya siasa 14 vikieleza tarehe na muda ambao wanachama wao waliopendekezwa kugombea nafasi ya Urais na Umakamu wa Rais watafika kuchukua fomu za uteuzi katika ofisi za Tume zilizopo eneo la Njedengwa, Dodoma.

Screenshot 2025-08-08 082524.png

Soma pia:Sitarajii kuona Mahakama inaingilia maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi
📌 Ratiba ya Utoaji wa Fomu:

📅 09 Agosti, 2025

CCM – Saa 11:00 Asubuhi

NRA – Saa 8:00 Mchana

AAFP – Saa 10:00 Jioni

📅 10 Agosti, 2025
4. MAKINI – Saa 3:00 Asubuhi
5. NLD – Saa 6:00 Mchana
6. UPDP – Saa 9:00 Jioni

📅 11 Agosti, 2025
7. ADA–TADEA – Saa 3:00 Asubuhi
8. UMD – Saa 6:00 Mchana
9. TLP – Saa 9:00 Jioni

📅 12 Agosti, 2025
10. CCK – Saa 3:00 Asubuhi
11. CHAUMMA – Saa 6:00 Mchana
12. ADC – Saa 9:00 Jioni

🗳️ Vyama vingine vilivyowasilisha taarifa lakini bado havijapangiwa tarehe ni:
13. Democratic Party (DP)
14. NCCR – Mageuzi

🕘 Zoezi la utoaji wa fomu litaendelea hadi tarehe 27 Agosti, 2025.

📍 Mahali: Ofisi za NEC – Njedengwa, Dodoma.

Chanzo: Nipashe digital
 
Tume 'HURU'. ya uchaguzi? What a horrible joke.
Vyote ni vile vyama ambavyo hushonewa suti, hupewa posho,kuandaliwa press na Makalla kuitukana Chadema.
 
Kuna watu watanyongwa hadharani siku Tanzania itakapokombolewa kwa mara ya pili
 
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepokea barua kutoka katika vyama vya siasa 14 vikieleza tarehe na muda ambao wanachama wao waliopendekezwa kugombea nafasi ya Urais na Umakamu wa Rais watafika kuchukua fomu za uteuzi katika ofisi za Tume zilizopo eneo la Njedengwa, Dodoma.

View attachment 3436052

Soma pia:Sitarajii kuona Mahakama inaingilia maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi
📌 Ratiba ya Utoaji wa Fomu:

📅 09 Agosti, 2025

CCM – Saa 11:00 Asubuhi

NRA – Saa 8:00 Mchana

AAFP – Saa 10:00 Jioni

📅 10 Agosti, 2025
4. MAKINI – Saa 3:00 Asubuhi
5. NLD – Saa 6:00 Mchana
6. UPDP – Saa 9:00 Jioni

📅 11 Agosti, 2025
7. ADA–TADEA – Saa 3:00 Asubuhi
8. UMD – Saa 6:00 Mchana
9. TLP – Saa 9:00 Jioni

📅 12 Agosti, 2025
10. CCK – Saa 3:00 Asubuhi
11. CHAUMMA – Saa 6:00 Mchana
12. ADC – Saa 9:00 Jioni

🗳️ Vyama vingine vilivyowasilisha taarifa lakini bado havijapangiwa tarehe ni:
13. Democratic Party (DP)
14. NCCR – Mageuzi

🕘 Zoezi la utoaji wa fomu litaendelea hadi tarehe 27 Agosti, 2025.

📍 Mahali: Ofisi za NEC – Njedengwa, Dodoma.

Chanzo: Nipashe digital
ACT vipi?
 
CcM inafuata fomu saa 11 alfajiri?kulikoni?
 
Safi sana.
Kipenga kioenga kimepulizwa.
Kama itaruhusiwa nitamsindikiza Rais wangu mpendwa dkt Samia Siluhu Hasaan kwenda kuchukua fomu.
 
Maigizo tu ya wasindikizaji.
Fomu ni moja Rais ashajulikana.
 
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepokea barua kutoka katika vyama vya siasa 14 vikieleza tarehe na muda ambao wanachama wao waliopendekezwa kugombea nafasi ya Urais na Umakamu wa Rais watafika kuchukua fomu za uteuzi katika ofisi za Tume zilizopo eneo la Njedengwa, Dodoma.

View attachment 3436052

Soma pia:Sitarajii kuona Mahakama inaingilia maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi
📌 Ratiba ya Utoaji wa Fomu:

📅 09 Agosti, 2025

CCM – Saa 11:00 Asubuhi

NRA – Saa 8:00 Mchana

AAFP – Saa 10:00 Jioni

📅 10 Agosti, 2025
4. MAKINI – Saa 3:00 Asubuhi
5. NLD – Saa 6:00 Mchana
6. UPDP – Saa 9:00 Jioni

📅 11 Agosti, 2025
7. ADA–TADEA – Saa 3:00 Asubuhi
8. UMD – Saa 6:00 Mchana
9. TLP – Saa 9:00 Jioni

📅 12 Agosti, 2025
10. CCK – Saa 3:00 Asubuhi
11. CHAUMMA – Saa 6:00 Mchana
12. ADC – Saa 9:00 Jioni

🗳️ Vyama vingine vilivyowasilisha taarifa lakini bado havijapangiwa tarehe ni:
13. Democratic Party (DP)
14. NCCR – Mageuzi

🕘 Zoezi la utoaji wa fomu litaendelea hadi tarehe 27 Agosti, 2025.

📍 Mahali: Ofisi za NEC – Njedengwa, Dodoma.

Chanzo: Nipashe digital
Mgombea wa mama ndugu Salum
 
Siamini huu ujinga wote unafanywa mbele ya macho yetu mchana kweupe na vyombo vya Dola vikiangalia.
 
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepokea barua kutoka katika vyama vya siasa 14 vikieleza tarehe na muda ambao wanachama wao waliopendekezwa kugombea nafasi ya Urais na Umakamu wa Rais watafika kuchukua fomu za uteuzi katika ofisi za Tume zilizopo eneo la Njedengwa, Dodoma.

View attachment 3436052

Soma pia:Sitarajii kuona Mahakama inaingilia maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi
📌 Ratiba ya Utoaji wa Fomu:

📅 09 Agosti, 2025

CCM – Saa 11:00 Asubuhi

NRA – Saa 8:00 Mchana

AAFP – Saa 10:00 Jioni

📅 10 Agosti, 2025
4. MAKINI – Saa 3:00 Asubuhi
5. NLD – Saa 6:00 Mchana
6. UPDP – Saa 9:00 Jioni

📅 11 Agosti, 2025
7. ADA–TADEA – Saa 3:00 Asubuhi
8. UMD – Saa 6:00 Mchana
9. TLP – Saa 9:00 Jioni

📅 12 Agosti, 2025
10. CCK – Saa 3:00 Asubuhi
11. CHAUMMA – Saa 6:00 Mchana
12. ADC – Saa 9:00 Jioni

🗳️ Vyama vingine vilivyowasilisha taarifa lakini bado havijapangiwa tarehe ni:
13. Democratic Party (DP)
14. NCCR – Mageuzi

🕘 Zoezi la utoaji wa fomu litaendelea hadi tarehe 27 Agosti, 2025.

📍 Mahali: Ofisi za NEC – Njedengwa, Dodoma.

Chanzo: Nipashe digital
Hii barua imeandikwa na mtu wa tume?

Yaani anaandika saa tisa jioni?
 
Back
Top Bottom