Naunga mkono hoja, bila tume huru ya uchaguzi hakuna uchaguzi, bali ni kutimiza matakwa ya rais aliye madarakani. Wapinzani wahakikishe wakati huu wa kampeni ajenda ya tume huru ya uchaguzi iwe ndio kuu. Watangaze kabisa hakuna kupiga kura bila tume huru. Hapa hakuna kisingizio cha muda wala nini. Inatakiwa hiyo tume ivuliwe nguo mpaka imani ndogo iliyopo itoweke.