Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari waungwana?
Mara zote ukweli haupendwi na wapinzani na wanaCCM pia hawaupendi.
Ukweli ni kwamba CCM haiwezi kuondolewa kwenye dola kwa kutumia tume huru ya uchaguzi.
Simaanishi kuwa Tume huru ya Uchaguzi haina maana hapa nchini.
Nitaelezea hili kwa njia ya swali kisha msomaji utajibu.
Je, mahakama sio mhimili kamili, wenye mamlaka yote?
Je, ni mara ngapi tumeona na kusikia mahakama imeweza kuuwajibisha kwa namna yoyote ile mihimili 2 iliyobaki?
Je, hatujawahi kuona mhimili mmoja ukijiinua na kuikokota mihimili mingine ambayo ina mamlaka kamili?.
Je, tume huru ya uchaguzi inaweza kuhozi nguvu kubwa kuliko mihimili ile 3?.