Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025?

Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025?

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Kikosi kazi ilitoa taarifa kwa Mhe. Rais kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi na mchakato wa Katiba mpya. Swali langu ni kama ifuatavyo:- Je Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025? Je, mchakato wa Katiba mpya utaanza lini?.
 
Tume ya uchaguzi tayari ipo.

Katiba mpya itashughulikiwa baada ya 2030.

Swali lingine!
 
Back
Top Bottom