K Koryo2 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 2,056 Reaction score 2,519 Mar 25, 2022 #1 Kikosi kazi ilitoa taarifa kwa Mhe. Rais kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi na mchakato wa Katiba mpya. Swali langu ni kama ifuatavyo:- Je Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025? Je, mchakato wa Katiba mpya utaanza lini?.
Kikosi kazi ilitoa taarifa kwa Mhe. Rais kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi na mchakato wa Katiba mpya. Swali langu ni kama ifuatavyo:- Je Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa kabla ya uchaguzi wa 2025? Je, mchakato wa Katiba mpya utaanza lini?.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Mar 25, 2022 #2 Tume ya uchaguzi tayari ipo. Katiba mpya itashughulikiwa baada ya 2030. Swali lingine!