Kenya 2022 Tume huru ya Uchaguzi yatoa wito wa Wakandarasi wa Teknolojia ya Uchaguzi kuachiliwa

Kenya 2022 Tume huru ya Uchaguzi yatoa wito wa Wakandarasi wa Teknolojia ya Uchaguzi kuachiliwa

Kenya 2022 General Election

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Tume Huru ya Uchaguzi nchini humo (IEBC) imesema kuwa Wakandarasi wa Smartmatic International BV wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta walipowasili kutoka Venezuela licha ya mamlaka kuarifiwa kuwa waliingia nchini kihalali.

Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amesema kuendelea kuzuiliwa kwao kunaweza kuathiri maandalizi ya uchaguzi kwani Wakandarasi hao wanahusika na Uwekaji na Usimamizi wa Teknolojia katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9.

Hata hivyo mamlaka hazikuweka wazi sababu za kuwashikilia wakandarasi hao.

==========

Kenya's electoral commission has been making preparations for the 9 August electionsImage caption: Kenya's electoral commission has been making preparations for the 9 August elections

Kenya’s electoral body has expressed concern over the arrest and detention of three contractors involved in the deployment and management of election technology.

In a statement, the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) said that employees of Smartmatic International BV were arrested at the Jomo Kenyatta International Airport in Nairobi on arrival from Venezuela.

It termed their detention “without justification” as an “exhibition of intimidation on hardworking persons who are only keen to deliver a robust technology infrastructure”.

The commission says they are surprised that this happened despite notifying security authorities that the three were in the country lawfully.

IEBC chairman Wafula Chebukati says their continued detention could affect election preparedness since technology will play a key role in the 9 August polls.

He has demanded the immediate release of the contractors.

The police are yet to respond.

Source: BBC
 

Attachments

  • 1658468265762.gif
    1658468265762.gif
    42 bytes · Views: 14
Back
Top Bottom