Tume imeelemewa na shuhuda za kweli. Sasa hawataki tena ziende hewani moja kwa moja

Hii ya Ubungo waniite nitoe ushuhuda bil kupepesa. Ilikuwa hatari kwakweli.
 
Alert 🟤⚠️🚫

Baada ya kuona wanaumbuka na siri za walichojaribu kukificha zinafichuliwa.

Nini maana yake:

  • Tume inakosa integrity ya wanachofanya na kupelekea legality kupotea,kwani wataficha mengi na mwishoni no one atapokea au kuamini ripoti yao
  • Jambo la pili ni hatari ya maisha kwa mashuhuda kutoa ushahidi kizani na kupotea kizani
  • - -
  • - -
  • - -
  • - -Ukifuatilia na yaliyojiri msibani unaona kuwa bado kama serikali hawana nia ya kweli na thabiti kufanya lolote la nia njema kutoka hapa tulipokwama.Mitego mingi inarushwa kwa style mbalimbali ili Taifa liingizwe kwenye sanaa zile zile za kisiasa za miaka yote zisizofikia tamati bali kuwapa wananchi matumaini hewa na kupoteza muda wao
 
Hatarii!
Samuya na uongozi wake utaishia pabaya sana sana.
Kiukweli hatutamkumbuka kwa mazuri bali kwa ukatili, wizi na nepotism!
 
Kinachofuata mashekhe wa BAKWATA ndiyo wataenda kutoa ushahidi wa uongo wakiamini kuwa wanamnusuru mwenyekiti wao kumbe ndiyo wanazidi kumpaka kinyesi. Ushahidi ambao umeshatolewa na kile Watanganyika tulichoshuhudia kwa macho yetu kinatosha kabisa kumtia Samia na magaidi wenzake hatiani.
 
Order ishatoka kwa bi.Msumi huko kuwa mashahidi wanatikisa meza yenye don julio na dom perignon😂😂😂 tafadhalini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…