Tume imeelemewa na shuhuda za kweli. Sasa hawataki tena ziende hewani moja kwa moja

Tume imeelemewa na shuhuda za kweli. Sasa hawataki tena ziende hewani moja kwa moja

Mama mwenyewe keshakiri kwa kusema " mlitaka tuwatizame waliotaka kupindua Serikali hadi wafanikiwe?"
Kiburi cha madaraka ni mbaya sana. "Nimewaua nendeni popote hamnitishi wala hamnifanyi kitu." Japokuwa hajatamka lkn ndiyo yaliojaa moyoni mwake.
 
Wakati mwingine wanaharakati wenyewe hawako nq objectives kwenye harakati zao nzuri. Nilivyoona mitandaoni imeanza kampeni kuwa hizo shuhuda ni evidence ICC nikajua hawa wanawaamsha usingizini watu wa mfumo.

Mungu anawapiga upofu mfumo ili mpate evidence then mnaanza kupiga mayowe mitandaoni kuwakebehi tume.

Wanaharakati kabla hamjafanya llolote kama ajenda mitandaoni muwe mnapima faida na hasara.
 
Mambo mengine unaweza kuta yamesukwa na wazalendo huko kwenye mfumo ili kuwarahisishia kazi alafu nyie wenyewe mnasanua wahuni.
Nilikuwa sijakuelewa lkn kwa hili sasa nimekupata vema. Ni kweli Wazalendo wapo kila kona japokuwa wengine wamebanwa na video kwenye nafasi zao. Hivyo huonyesha Uzalendo wao kinamna ambapo wenye kuchambua mambo wataelewa.
 
Swali ni moja tu, ikiwa sisi wazazi tulishindwa kuwazuia watoto wetu wasiandamane adhabu yao ilikuwa ni kifo??

Ikiwa vijana wetu walipewa fedha ili waandamane adhabu yao ilikuwa ni kuuawa kwa kufumuliwa ubongo??

Hawana namna ya kutoka kwenye mkasa huu. Ni kweli wao ndio wauaji wa raia. Sasa Tume ya nini??

Mama mwenyewe keshakiri kwa kusema " mlitaka tuwatizame waliotaka kupindua Serikali hadi wafanikiwe?"
Kuwa mzazi Kuna maana ya kuriduce high voltage to be saficient and aplayable

Unakuwaje mzazi bila kufahamu the basic.!?

Nguvu katika ulimbukeni wa uongozi the sinior must curve their *** the fucking curve indeed
 
Hao wajumbe watume vitu wanavyovisikia na maumivu wanayokutana nayo wanaishia kupatwa na msongo wa mawazo pia hadi wanapendekeza uwapo na huduma ya kisaikolojia kuwatibia wahanga maana yaliyowakuta sio mambo ya kawaida katika jamii ya utulivu na kiuungwana ya Kitanganyika.

Huo ushenzi uliofanyika kwa raia especially October 29,malipo yake lazima yataondoka na watu wengi sana huko ushenzini. Pumbavu hawa.
 
Huo ushenzi uliofanyika kwa raia especially October 29,malipo yake lazima yataondoka na watu wengi sana huko ushenzini
 
Walitamani inyeshe mvua kubwa sana Mungu kajibu; sasa wanataka manyunyu wakiwa kwenye anga ya juu kwa usafiri wa ndege
 
1769592305491.jpg
 
Back
Top Bottom