Kiburi cha madaraka ni mbaya sana. "Nimewaua nendeni popote hamnitishi wala hamnifanyi kitu." Japokuwa hajatamka lkn ndiyo yaliojaa moyoni mwake.Mama mwenyewe keshakiri kwa kusema " mlitaka tuwatizame waliotaka kupindua Serikali hadi wafanikiwe?"
Nilikuwa sijakuelewa lkn kwa hili sasa nimekupata vema. Ni kweli Wazalendo wapo kila kona japokuwa wengine wamebanwa na video kwenye nafasi zao. Hivyo huonyesha Uzalendo wao kinamna ambapo wenye kuchambua mambo wataelewa.Mambo mengine unaweza kuta yamesukwa na wazalendo huko kwenye mfumo ili kuwarahisishia kazi alafu nyie wenyewe mnasanua wahuni.
Kuwa mzazi Kuna maana ya kuriduce high voltage to be saficient and aplayableSwali ni moja tu, ikiwa sisi wazazi tulishindwa kuwazuia watoto wetu wasiandamane adhabu yao ilikuwa ni kifo??
Ikiwa vijana wetu walipewa fedha ili waandamane adhabu yao ilikuwa ni kuuawa kwa kufumuliwa ubongo??
Hawana namna ya kutoka kwenye mkasa huu. Ni kweli wao ndio wauaji wa raia. Sasa Tume ya nini??
Mama mwenyewe keshakiri kwa kusema " mlitaka tuwatizame waliotaka kupindua Serikali hadi wafanikiwe?"
*** jf, I don't mention dhat hashtag, how dare you to collect my dungKuwa mzazi Kuna maana ya kuriduce high voltage to be saficient and aplayable
Unakuwaje mzazi bila kufahamu the basic.!?
Nguvu katika ulimbukeni wa uongozi the sinior must curve their JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala the fucking curve indeed
Huo ushenzi uliofanyika kwa raia especially October 29,malipo yake lazima yataondoka na watu wengi sana huko ushenziniHao wajumbe watume vitu wanavyovisikia na maumivu wanayokutana nayo wanaishia kupatwa na msongo wa mawazo pia hadi wanapendekeza uwapo na huduma ya kisaikolojia kuwatibia wahanga maana yaliyowakuta sio mambo ya kawaida katika jamii ya utulivu na kiuungwana ya Kitanganyika.
Huo ushenzi uliofanyika kwa raia especially October 29,malipo yake lazima yataondoka na watu wengi sana huko ushenzini. Pumbavu hawa.