na mimi nashangaa....Jamani habari ya mjini ndiyo hiyo.
Tangu uchaguzi wa 1995 viongozi wa Dini wamekuwa waangalizi wa uchaguzi mkuu.
Lakini uchaguzi wa mwaka huu Tume imeamua viongozi wa Dini wasishirikishwe.
Nilitegemea kwamba ili malalamiko yasiwepo basi waangalizi walipaswa kuwa wengi.
Waswahili tena msemo wetu, "Penye wengi hapaharibiki neno. "
Na kama sisi ni taifa linalomtegemea MUNGU kwanini tunawatenga viongozi wa DINI ktk jambo kubwa na muhimu kama uchaguzi mkuu?
Hawatakiwi kabisa wengine wameharibiwa na uvyama akina Bagonza Wana upamde wa Chadema wakina Gwajima wanavaa Hadi nguo za CCM na kadi za vyama mifukoni..kwasababu hawana vyama/upande bila shaka watakuwa waangalizi wa uchaguzi wanaoaminika zaidi.
Hawatakiwi kabisa wengine wameharibiwa na uvyama akina Bagonza Wana upamde wa Chadema wakina Gwajima wanavaa Hadi nguo za CCM na kadi za vyama mifukoni
Angalia akina Askofu Bandekile au akina shehe katimba au Ponda hawajifichi misimamo Yao ya kivyama
Kuna Hadi padri Kanisa Katoliki anagombea ubunge kupitia CCM kuchukua Fomu hiyo.ni chaos wameanza kuwa na pande hivyo hawako neutral Tena!
Serikali inawarudisha kwenye msitari inawarudisha kwenye msitari sababu wao wenyewe wameshindwa kujiweka kwenye msitari
Serikali imefanya la maana wabakie tu kwenye shughuli zao za kidini tu
Ni vizuri watu tuwe na uelewa wa Sheria ya Uchaguzi na nani mwenye haki kisheria kuwa mwangalizi (observer) kwenye uchaguzi wetu as opposed to msimamizi (administrator) wa uchaguzi. Sasa sema NEC na Sheria zinazungumzia nini - wasimamizi au waangalizi?Jamani habari ya mjini ndiyo hiyo.
Tangu uchaguzi wa 1995 viongozi wa Dini wamekuwa waangalizi wa uchaguzi mkuu.
Lakini uchaguzi wa mwaka huu Tume imeamua viongozi wa Dini wasishirikishwe.
Nilitegemea kwamba ili malalamiko yasiwepo basi waangalizi walipaswa kuwa wengi.
Waswahili tena msemo wetu, "Penye wengi hapaharibiki neno. "
Na kama sisi ni taifa linalomtegemea MUNGU kwanini tunawatenga viongozi wa DINI ktk jambo kubwa na muhimu kama uchaguzi mkuu?
Ni vizuri watu tuwe na uelewa wa Sheria ya Uchaguzi na nani mwenye haki kisheria kuwa mwangalizi (observer) kwenye uchaguzi wetu as opposed to msimamizi (administrator) wa uchaguzi. Sasa sema NEC na Sheria zinazungumzia nini - wasimamizi au waangalizi?
sawa ccm imeona aibu kufanya madhambi yao mbele ya watumishi wa Mungu,hawana hiyana.kama uchaguzi ni wa huru na haki c ndo hao watumishi watakuja kusemaKazi ya viongozi wa dini Sio kusimamia chaguzi za serikali Wala vyama
Kwa uzoefu wangu wa kuwa mwangalizi wa uchaguzi kuanzia ule wa 2000 hadi uke wa 2015, sijawahi kuona viongozi wa dini kama vile wachungaji, maaskofu, mashehe au hata maimamu wakiwa waangalizi wa uchaguzi au hata taasisi zao za dini, sijawahi kuziona. Sana sana watu binafsi kutoka hizo taasisi ndio huwa wanashirikishwa kama wataalam au wasomi kutoka hizo taasisi na hivyo kuwa kama observer kwenye hizi chaguzi. Ngoja tuone hili lina maana gani mwaka huu wa 2020...Nazungumzia waangalizi / observers.
..kwa mara ya kwanza tangu tuingie ktk mfumo wa vyama vingi viongozi wa dini hawataruhusiwa kuwa waangalizi wa uchaguzi.
Lakini ni kazi yao kumpa Baba la Baba tunzo[emoji872][emoji102]Kazi ya viongozi wa dini Sio kusimamia chaguzi za serikali Wala vyama
Huyu naye kaja na TUKIO badala ya kujibu hoja!Lakini ni kazi yao kumpa Baba la Baba tunzo[emoji872][emoji102]
Kwa uzoefu wangu wa kuwa mwangalizi wa uchaguzi kuanzia ule wa 2000 hadi uke wa 2015, sijawahi kuona viongozi wa dini kama vile wachungaji, maaskofu, mashehe au hata maimamu wakiwa waangalizi wa uchaguzi au hata taasisi zao za dini, sijawahi kuziona. Sana sana watu binafsi kutoka hizo taasisi ndio huwa wanashirikishwa kama wataalam au wasomi kutoka hizo taasisi na hivyo kuwa kama observer kwenye hizi chaguzi. Ngoja tuone hili lina maana gani mwaka huu wa 2020.
Lakini kusifia na kumfanyia maombi yule yesu mpya wa Chato inaruhusiwa?Kazi ya viongozi wa dini Sio kusimamia chaguzi za serikali Wala vyama
Nchi ambayo ni secular haitakiwi kuingiza dini kwenye siasa.Jamani habari ya mjini ndiyo hiyo.
Tangu uchaguzi wa 1995 viongozi wa Dini wamekuwa waangalizi wa uchaguzi mkuu.
Lakini uchaguzi wa mwaka huu Tume imeamua viongozi wa Dini wasishirikishwe.
Nilitegemea kwamba ili malalamiko yasiwepo basi waangalizi walipaswa kuwa wengi.
Waswahili tena msemo wetu, "Penye wengi hapaharibiki neno. "
Na kama sisi ni taifa linalomtegemea MUNGU kwanini tunawatenga viongozi wa DINI ktk jambo kubwa na muhimu kama uchaguzi mkuu?
Nchi ambayo ni secular haitakiwi kuingiza dini kwenye siasa.
Sawa JokaKuu ngoja tusikilizie ingawa mimi najua zoezi hili ni very expensive na linahitaji credible and competent operators ndio maana hata hao waangalizi kutoka EU au UN huwa wachache na huwa wanatumia operators wa humu humu ndani...hii taarifa nimeisikia toka kwa Katibu wa TEC.
..ningeweza kuleta video clip kama ushahidi lakini sikuwa na muda.
..tusubiri tuone nini kitatokea, lakini mimi nilidhani kuwa na observers wengi zaidi, wa kutoka taasisi mbalimbali, kungeongeza credibility ya chaguzi zetu.
Kuna mtu anasema kuwa ni wasimamizi? Lusindo'mbehi!Kazi ya viongozi wa dini Sio kusimamia chaguzi za serikali Wala vyama
Hii kama mtu kutoka across the border with a need and desire to disrupt our celebrated conversation jameni!?Lakini kusifia na kumfanyia maombi yule yesu mpya wa Chato inaruhusiwa?
Alafu leo kuna dhehebu la walamba viatu fulani limetoa Eti tuzo kwa magufuli. Hii nchi ina machizi na wapuuzi wengi sana kwa kweliJamani habari ya mjini ndiyo hiyo.