Tume mpya ya uchaguzi yaundwa Zanzibar

Tume mpya ya uchaguzi yaundwa Zanzibar

Kaka mbona unalia? Jibu maswala niliyokuuliza na sio kulia lia hapa.

Kwa taarifa yako Mapendekezo yaliyotolewa na Tume iliyomaliza muda wake ambayo kwa undani ni kutokana na malalamiko n kasoro zilizojitokeza katika chaguzi zilizopita ni kama yafuatayo....
  • Mapendekezo haya ni chini ya Tume ya Rais ya pamoja ya utekelezaji Muafaka wa CCM na CUF.

  • Aidha timu ya wataalamu walioshiriki katika kutoa ushauri inaundwa na Bw. Ron Gould kutoka Canada na Profesa Chris Peter kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na wataalumu wengine toka ndani na nje ya Tanzania

Nafasi ya naibu mkurugenzi wa uchaguzi na wasaidizi wakurugenzi wa uchaguzi imeondolewa na sasa imependekezwa kuwa na muundo wa divisheni sita.

Divisheni ya kwanza ni ofisi ndogo ya uchaguzi Pemba itakayosimamia shughuli za kiutawala, fedha na shughuli nyengine zote za uchaguzi, ikiwemo kumshauri Mkurugenzi wa Tume hiyo.

Divisheni ya pili ni ya uchaguzi ambayo itakuwa ikimshauri Mkurugenzi kuandaa utekelezaji wa taratibu za uandikishaji wapiga kura, uteuzi wa wagombea, kampeni za uchaguzi, upigaji kura, kuhesabu na kutangazwa kwa matokeo.

Divisheni ya tatu ni ya utawala na uendeshaji itakayosimamia shughuli za mafunzo kwa wafanyakazi, uajiri na haki za wafanyakazi kwa kuzingatia kanuni za utumishi.

Divisheni ya nne ni ya habari na uhusiano itakayokuwa na majukumu ya kujenga uhusiano kati ya vyombo vya habari na Tume na utoaji wa elimu kwa wananchi.

Divisheni ya tano ni ya fedha, ukaguzi na bajeti itakayokuwa na majukumu ya kuandaa bajeti ya fedha na malipo yanayofanyika kuhakikisha yanakidhi mahitaji yote ya upatikanaji na utumiaji wa fedha.

Divisheni ya sita ni ya sheria itakayofanyakazi ya kumshauri Mkurugenzi wa Uchaguzi masuala yote ya sheria za uchaguzi na kuwa Mwakilishi wa Tume ya Uchaguzi mahakamani wakati inapohitajika kutoa au kujibu hoja kuhusu masuala yote ya uchaguzi yanayotokana na Katiba ya Zanzibar, Sheria ya Uchaguzi na Kanuni zinazotungwa.

Mapendekezo mengine...

Kuwepo na ofisi katika kila wilaya ili kuendeleza zoezi la uandikishaji wapiga kura watakaokuwa wamefikisha umri unaotakiwa kisheria.

Kuangalia watu waliohama katika maeneo na kuingia katika maeneo mengine, ili kuhakikisha wanashiriki katika uchaguzi bila matatizo yoyote.

Sasa kama bado una dukuduku soma hapo juu vizuri, kama hukufahamu uliza swali na sio kulia lia hapa.

kumaamua mwamme kumnini nyani giladi mchana kweupee

ama kwa hapa kumanikuna ndipo
 
Kibunango,

Wewe endelea kuimba tu hayo maana labda ndio yanakupa mlo.

Tume ya Kenya ilikuwa bora mno kuliko hata hiyo tume unayoisifia Zanzibar.

Uhuru wa tume si kuwa na wajumbe wa CUF na CCM wala sio kwasababu huyo Mcanada na profesa wameshauri basi ndio tume huru.

Ninachosema mimi pamoja na ushauri wa maana wa hao watu bado chama tawala kinaweza ku abuse hiyo tume kwa faida yake kama tulivyoona Kenya.

Kinachotakiwa Zanzibar ni zaidi ya hapo, tunahitaji sheria nzima ya uchaguzi kuangaliwa upya na stakeholders mbalimbali kuhusishwa kuanzia vyama vya siasa mpaka NGO zinazojishughulisha na sheria pamoja na haki za binadamu.

Sheria hiyo lazima ipitie pia masuala ya wakati wa uandikishaji wapiga kura, kipindi cha kampeni, matumizi ya vyombo vya dola wakati wa kampeni na matumizi ya resources za umma wakati wa kampeni.

Utangazaji wa kura lazima ufanywe wazi, mbele ya watu na vyombo vya habari ikiwezekana na pia kuipa mahakama nafasi ya kusikiliza malalamiko kwa nafasi ya urais na kuweza kukata rufaa mpaka hata mahakama ya rufaa ya Tanzania.

Kwa mtu ambaye hana cha kuficha, hana mpango wa kuiba, hana ajenda za siri, sioni kwanini akataa kuiweka sheria wazi kwa faida ya nchi.

Mwaka 2010 hauko mbali, tutaona mauaji tena kama tuliyoyaona 1995, 2000 na 2005. Kwasababu hamjifunzi, na kwasababu mna ajenda zenu za siri, hamtaliona hili mpaka damu za Watanzania wenzenu zitakapokuwa zinamwagika barabarani.
 
Tatizo la kwanza kabisa katika chaguzi zetu, katika nchi zote Barani Afrika ni KATIBA, sio TUME za UCHAGUZI. KATIBA zinatengenezwa na Chama kilichomo madarakani au kiingiacho katika madaraka ya serikali husika. Katika mustakabali huo, KATIBA inachorwa kulinda maslahi ya Chama hicho au/na viongozi mahususi wa chama hicho. KATIBA haziandikwi kulinda maslahi ya wananchi, uhuru wao na haki zao.

Ndani ya KATIBA, mkuu wa nchi ambaye mara nyingi huwa ndiye Kiongozi wa Chama husika hupewa madaraka yasiyoweza kuingiliwa na mtu mwingine yeyote au kitengo kingine chochote cha watu au serikali yenyewe. Kwa maneno mepesi Katiba inampa Kiongozi wa Chama na serikali uwezo wa kumiliki nchi, watu na mali iliyoo ndani ya nchi.

Hii KATIBA ndiyo inayompa uwezo Kiongozi juu ya Serikali, Bunge, Mahakama na TUME YA UCHAGUZI tunayoizungumzia. KATIBA hiyo hiyo, ndio inayotoa mwongozo jinsi gani chaguzi mbali mbali nchini zitakavyoendeshwa. Vyombo vyote vya dola vinaendeshwa kwa matakwa na mapenzi ya Kiongozi husika. Kiongozi ana uwezo na maamuzi ya mwisho (absolute power) na sio wananchi. Kosa linaanzia hapa. Wanasema,"power corrupts, absolute power corrupts absolutely."

Hali hii inamfanya Kiongozi kuwa Mtawala. Na kama vyombo vyote vya dola vipo pale kwa matakwa ya Mfalme/Mtawala, tunategemea vimtumikie nani? Hii/Hizi tume, madaftari, mashekha, returning officers, tume za uchaguzi na kadhalika ni viini macho mpaka hapo tutapokuwa na KATIBA zenye kurudisha nchi kwa wananchi (people's power) na kutuondolea watawala na kutupa viongozi watakaokuwa watumishi wa wananchi.
 
Kama kilichoandikwa hapa ni kweli, basi katiba ya Kenya ni nzuri lakini
bado Kibaki na genge lake wameweza kuiba kura.

Why Kivuitu must be held accountable for poll chaos

Story by DONALD B. KIPKORIR
Publication Date: 1/5/2008
About 5.30pm on December 30, Electoral Commission chairman Samuel Kivuitu and two other commissioners huddled in a tiny room and, exclusively through state-funded Kenya Broadcasting Corporation, announced President Kibaki re-elected. Within an hour, the President was sworn in at State House at a function in which the national anthem was not played and in the absence of the diplomatic corps. Then the country was thrown into chaos.

In the fullness of time, history will apportion culpability over the current anarchy. At the moment, however, Mr Kivuitu should take full responsibility. But as he tries to run away from this responsibility to blame the chaos on pressure from PNU and ODM Kenya, I wish to offer the correct legal position over the whole saga and how the country can wriggle out of it.

The Electoral Commission of Kenya (ECK) was created pursuant to Section 41 of the Constitution and thus has security of tenure and independence. Section 42A sets out its mandate to be mainly two-fold — the registration of voters and the maintenance of the voter register, as well as directing and supervising civic, parliamentary and presidential elections.

The National Assembly and Presidential Elections Act, Cap 7, and its subsidiary, the Presidential and Parliamentary Elections Regulations sets out the legal framework that enables the ECK to effectively and fully conduct elections. The election of political leaders is a key component of any nation state that claims to be a democracy. To be legitimate, the electoral process must not only be free and fair, but also be seen to be so.

The regulations clearly set out the road-map for conducting elections, voting, votes counting and tallying, announcing results and challenging the process.

Presidential, parliamentary and civic elections are conducted at the polling stations, which are so located that voters have access to them with the least inconvenience and such that the ECK and the Government provide the logistics, the materials and security. At the moment, there are nearly 27,000 polling stations.

Each station is headed by a presiding officer, assisted by poll clerks. On the polling day, voters are given specific times within which they may cast their votes in person and not by proxy. All through the entire voting process, candidates’ agents, the media and accredited observers have free and unlimited access to the polling centre to witness the voting.

At the close of voting, the presiding officer and his clerks, in the presence of the agents, the media and observers, proceed to count the votes. Once the counting begins, the law stipulates that it shall not stop until it is completed. The results are then announced at the polling stations. The presiding officer then makes three packets each separately holding valid, disputed and spoilt ballot papers.

The officer makes another three packets holding spoilt papers, marked copy register and counterfoils of used ballot papers. He also prepares a statement that summarises the voting at the polling station, which he signs. It is countersigned by all the agents present. The packets are sealed and the agents are free to affix their own seal. The two sets of packets, the statement and the ballot boxes are transmitted to the returning officer at the constituency level.

The returning officer, once he receives the packets and boxes from the polling stations, proceeds to tally the votes. This is done in the presence of the candidates’ agents and the media. Vote recounting is not gone into, except for those disputed, and the returning officer has discretion to confirm or vary the disputed ones only. He shall never change the valid or spoilt votes. He then proceeds to announce to all present the results of both the presidential and parliamentary votes.

The returning officer is obliged in law to then fill Forms 16, 16A and 17A, which set out the results and the votes cast for each presidential and parliamentary candidates. The statutory forms are signed by the officer and the candidates’ agents. The agents, the media and observers are allowed to make and keep copies of the three forms, which are then physically delivered to the ECK headquarters in Nairobi.

On receiving them the ECK gives all parliamentary and presidential candidates 24 hours to lodge complaints, if any, including demanding a recount or retallying. The ECK is obliged to, within 48 hours, allow the recount or retallying. All candidates and the ECK therefore have 72 hours to resolve any disputes. It is only after the period that the ECK can announce the winners of each of the 210 parliamentary seats and issue a certificate known as Form 17 to each elected MP and Form 18 to the elected president. The results are then gazetted.

With due respect to Mr Kivuitu, it was irregular, unlawful and void in law to announce the results on December 30 and swear in the President on the same day. The ECK boss announced the results when he did not have the original Forms 16, 16A and 17A from each constituency, refused to allow the 24-hour period for candidates to lodge complaints and declined to allow retallying.

He told the world that his returning officers had gone underground, and that he did not have powers to order retallying. On the day the results were being announced, Special Gazette Notice No. 12612 was issued declaring Mr Kibaki the president. Mr Kivuitu deliberately misled the world and subverted the law.

Section 5 of the Constitution states that the president shall be elected in accordance with the Constitution and the National Assembly and Presidential Elections Act, Cap 7. Non-compliance with the mandatory provisions vitiates the process.

In law, the fundamental principle is that a void process does not confer legitimacy. A public officer acting in compliance with the law must comply with the substantive, formal and procedural conditions laid down and at all times act in good faith and for the public good. As a repository of these constitutional and statutory powers and duties, Mr Kivuitu was obliged to be faithful to the process and not be influenced by external forces, as he has admitted.

By his infidelity to the law, he has failed the country and must undo the mistakes. Section 5 of the Constitution states that a president duly elected is the one who has the highest votes cast.

The ECK can invoke its powers under the Constitution to retally all valid Forms 16 and 16A and retract the results and announce the valid ones. The announcement of results on December 30 was a ministerial act that does not invalidate the ECK’s constitutional powers.

The Constitution states that any other law that is inconsistent with the provisions of the Constitution is void to the extent of inconsistency. Thus, Mr Kivuitu must take the high road, invoke the ECK’s constitutional mandate and review the forms and give Kenyans the president they elected, be it Mr Kibaki or ODM candidate Raila Odinga.

The tough stands taken by ODM and President Kibaki’s PNU are theatrics which will not help the country. Neither party has any constitutional mandate that is the ECK’s monopoly. If he allows the status quo to stay, Mr Kivuitu will one day be held to account for the bloodshed and property destroyed.

The country’s unity and future rest on his shoulders, and he cannot pass the buck.

Mr Kipkorir is an advocate of the High Court.
 
Kama kilichoandikwa hapa ni kweli, basi katiba ya Kenya ni nzuri lakini
bado Kibaki na genge lake wameweza kuiba kura.
Yes Indeed,Kwa maneno mengine huyo Kivuitu anapaswa kushitakiwa kwa kushindwa kuisimamia vema sheria za uchaguzi kwa mujibu wa katiba....

Ukiangalia zaidi na iwapo haupo bias, utaona kuwa kinachofanyika sasa hivi huko Zenj ni kuondoa kasoro zote katika uhuru wa kiutendaji wa tume, ili uchaguzi wa 2015 uwe huru na wa wazi zaidi.
 
About 5.30pm on December 30, Electoral Commission chairman Samuel Kivuitu and two other commissioners huddled in a tiny room and, exclusively through state-funded Kenya Broadcasting Corporation, announced President Kibaki re-elected. Within an hour, the President was sworn in at State House at a function in which the national anthem was not played and in the absence of the diplomatic corps. Then the country was thrown into chaos.

.
Pamoja na kasoro, malalamiko vujo n.k Katika chaguzi zote tatu zilizofanyika Zenj haikuwahi hata mara moja kwa mshindi kuapishwa ikulu chini ya kiwango kama hiki.

Sherehe zote za kuapishwa zilifanyika mbele ya umati mkubwa wa wananchi na kufuata protokali zote za siku hiyo muhimu...
 
Kibuningo,

Unachokosea ni kulinganisha mazingira ya Zanzibar sawa na Kenya. Zanzibar ni nchi ndogo sana na ambayo wakati wa uchaguzi inazungukwa na jeshi pamoja na polisi kutoka bara.

Zanzibar haina vyombo vya habari huru ukiachia vya serikali na vile vya bara
ambavyo kwa aina moja sio wahusika sana na uchaguzi wa Zanzibar. Kwahiyo utaona pingamizi zote zilikuwa zinaletwa na CUF tu wakati kule Kenya ilikuwa zaidi ya ODM maana hata waandishi wa habari walikuwa wanapiga kelele na ku support maneno ya viongozi wa ODM ya kutaka hizo forms zichunguzwe.

Kama wasingemwapisha haraka, katiba ya Kenya inatoa nafasi ya challenge na ndio maana wakakimbia haraka haraka. Kwa Zanzibar ni tofauti kabisa maana sio tume tu ilyo mbaya bali hata katiba yenyewe.

MImi sioni tofauti yoyote kati ya uendeshaji wa uchaguzi wa Kenya na huo wa Zanzibar. Walioko madarakani wakiamua kuiba wataiba tu kwa kutumia hiyo tume ambayo wameiweka wenyewe.

Pia ECK uendeshaji wake ni wawazi mno kuliko tume ya Zanzibar. Ingelikuwa Zanzibar pale pale mwanzoni mabomu ya kutoa machozi yangetupwa.

Mimi ninachowaomba Watanzania wenzangu hasa wale wa Zanzibar ni kwamba kwa uzoefu wangu wa siasa za Afrika, marekebisho yaliyofanywa kwenye katiba na tume ya uchaguzi ya Zanzibar, hayatoshi kabisa kuepusha vurugu mwaka 2010. Tuombe mungu wote tuwepo hapa na tutakuja jadili hili suala tena.

Kama CCM hawana wasiwasi na kushindwa, basi waiachie tume iwe huru kabisa na warekebisha sheria na katiba ili kuifanya iwe huru kweli.

Nashindwa kuelewa kwanini watu wanaogopa kushindwa, wote tumeshashindwa mara nyingi tu maishani, tumeshafeli mitihani, tumeshashindwa kazi, lakini baadaye tumejifunza na kurudi kwa nguvu zote. Kule Eastern Europe Wajamaa waliondolewa kwa mikiki mikiki, hata wake zao waligoma kuwapigia kura, baada ya miaka mitano karibu vyama vyote vilirudi japo baada ya kufanya mabadiliko. CCM wasiogope kushindwa Zanzibar ili mradi wameshindwa kihalali.
 
Ukiangalia zaidi na iwapo haupo bias, utaona kuwa kinachofanyika sasa hivi huko Zenj ni kuondoa kasoro zote katika uhuru wa kiutendaji wa tume, ili uchaguzi wa 2015 uwe huru na wa wazi zaidi.

Kibunango,

Mimi sina ugomvi na CCM ila nataka haki kwa wananchi wetu na pia kuepusha mauji ya raia bila sababu.

Viraka tunavyoweka kwenye hiyo tume havitatusaidia mwaka 2015. Tuombe wote tuwepo hapa na hili litatokea tena kwa Zanzibar.

Wanaokataa kufanya mabadiliko ya kweli watakuwa ndio mwanzo wa damu za Watanzania wenzao kumwagika.
 
nina wasiwasi kwamba fukuto la jahazi asilia litamshinikiza amani karume aweke tume huru na madhubuti akiondoka.hata hivyo nategemea kuzamia kusikojulikana na nikiibuka nitaweza kupata fununu ya kisiwa cha znz walau kwa ufupi.mkiona nimepotea mjue nawajibika.umefika wakati kutumia kila aina ya hekima na busara ili kuiokoa zanzibar,demokrasia na tanzania kwa ujumla.
"nilikuja kwa upendo na nitaondoka kwa upendo"
 
Kwanini CHADEMA WASIUNGE NGUVU na JAHAZI ASILIA ili nao wawepo ktk hii TUME...(pia waweza uliza kwanini Jahazi asilia wasiweke aliance na CHADEMA)...?

Kinyume chake naiona TUME mpya haina JIPYA...wajumbe wa CUF walikuwepo 2005, lkn hakuna kilichofanyika na kuishia mkunazini kupiga mayowe...Huku wakitulizwa na vikosi vya MKAPA.
 
chuma jahazi wanajua kuwa ukitaka ukose kujulikana zenji na kupata supporter waungane na chama cha misifa, hilo wachezei kina kitole hata siku moja

kibunango rafiki yako kitole bado yupo jahazi?
 
Back
Top Bottom