Tume ya ajira jamani munatusumbua

UKWELIWANGU

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
82
Reaction score
5
WAUNGWANA HABARI ZA ASUBUHI

nina andika habari hii huku nikiwa na machungu kabisa kwani na mimi ni muhanga wa haya matatizo ya tume ya ajira. nakumbuka mwaka jana tulipofanya intavyuu ya NAO ( National Audit Office) ambayo ilisimamiwa na tume yetu ya ajira tuli ambiiwa kuwa tumeitwa watu wengi ili tume iweze kutengeneza data base hivyo itakapo tokea nafasi wataita watu kutoka kwenye hiyo data base . CHAKUSHANGAZA AMBACHO KINANIFANYA NIANDIKE HABARI HII NI KWAMBA Sawa tunakubari hiyo data base kuwa ipo LAKINI cha ajabu tume kila kukicha inatangaza nafasi za kazi za uhasibu na ukaguzi wa fedha hivyo watu tunatuma application ila hatuitwi tena kwenye invyuu so wnachukua watu kutoka kwenye hiyo data base waliyo nayo na kuwaita kazini moja kwa moja HAKUNA TENA INTAVYUU. SASA kama tume ina tumia hiyo data base kuna sababu gani ya kutangaza hizo nafasi za kazi za uhasibu na ukaguzi wa fedha . KWANI kitu kinacho tangazwa maanake watu watume application so NINAOMBA tume muondoe huo ubabaishaji wenu kwani muna tumalizia pesa kwa kutuma application kila kukicha wakati nyie muna tumia hiyo data base so BORA MISITANGAZE HIZO NAFASI MPAKA HIYO DATA BASE YENU IISHE.

Hii ina manisha kuwa matangazo yote ya tume yanahusu uhasibu na ukaguzi wa ndani hayafai kutangazwa na yanayo tangazwa yote hayafai kwani tume inatumia data base . hivyo wanajamii tusijisumbue kutma maombi pindi zitokapo nafasi hizi.

NAAMBATANISHA MFANO WA TANGAZO AMBALO TUME WALITOA ALAFU WATU TUKATUMA MAOMBI KUMBE TUKIWA TUNASUBIRI INTAVYUU WATU WAMESHAITWA KAZINI NA WAMEANZA KAZI TANGIA JULAI MOSI .

NAWASILISHA
 

Attachments

hiyo tume ya ajira ni wahuni tu uliona wapi kazi inatangazwa then interview inachukua miezi hata 4 dadi 6? nchi hii inahitaji marekebisho mengi sana katika sera zako na hasa eneo kubwa la KATIBA. ajira inatangazwa lakini watu wameshapangwa tayari
 
Sijui kwa nini mnaita Tume ya Ajira wakati ni Sekretarieti ya ajira? Ndio maana wanawachakachua hivi hivi
 
Vp kwenye sector au vitengo vingine? Nako wanatumia database? Naomba nijue ili niachane nao kabisa.
 
mh kazi ipo! hizi ajira hizi cjui wala sielewi jamani mm nachanganyikiwa! maisha magumu na kazi hakuna! lakn zipo,mbona wengine wanapata?au sababu ni nn! cpati jibu..ee Mungu tusaidie
 
mh kazi ipo! hizi ajira hizi cjui wala sielewi jamani mm nachanganyikiwa! maisha magumu na kazi hakuna! lakn zipo,mbona wengine wanapata?au sababu ni nn! cpati jibu..ee Mungu tusaidie

Pole sana mkuu usikatame tamaa ipo siku tu na sisi Mungu atafungua milango japo inaumiza sana kuona wote mnaomba kazi alafu mwingine anaitwa kimyakimya,usiumize sana kichwa mkuu tupo wengi kwenye hili janga!
 
Pole sana mkuu usikatame tamaa ipo siku tu na sisi Mungu atafungua milango japo inaumiza sana kuona wote mnaomba kazi alafu mwingine anaitwa kimyakimya,usiumize sana kichwa mkuu tupo wengi kwenye hili janga!

ahsante ndo hivyo bwana! mtaji hakuna! na wenzetu ndo wameshamaliza chuo now! so wimbi la wasakao ajira ndo limezidi kuongezeka! yaani balaa tupu! hata pesa ya kufanya application nakosa sasa! nimeanza kuuza nguo zangu ili nipate pesa nipate hata nauli ya kupeleka cv kwa hao watu! sioni hata dalili ya kuitwa!!! jaman ni gundu ama kitu gani hiki!!? haaaaaaaa!
 
"Korino" just relux,GOD is in controll,very soon the bird will fly and patient is a Secret of sucess/fortune.
"WE LOVE YOU JESUS"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…