UKWELIWANGU
Member
- Aug 11, 2011
- 82
- 5
WAUNGWANA HABARI ZA ASUBUHI
nina andika habari hii huku nikiwa na machungu kabisa kwani na mimi ni muhanga wa haya matatizo ya tume ya ajira. nakumbuka mwaka jana tulipofanya intavyuu ya NAO ( National Audit Office) ambayo ilisimamiwa na tume yetu ya ajira tuli ambiiwa kuwa tumeitwa watu wengi ili tume iweze kutengeneza data base hivyo itakapo tokea nafasi wataita watu kutoka kwenye hiyo data base . CHAKUSHANGAZA AMBACHO KINANIFANYA NIANDIKE HABARI HII NI KWAMBA Sawa tunakubari hiyo data base kuwa ipo LAKINI cha ajabu tume kila kukicha inatangaza nafasi za kazi za uhasibu na ukaguzi wa fedha hivyo watu tunatuma application ila hatuitwi tena kwenye invyuu so wnachukua watu kutoka kwenye hiyo data base waliyo nayo na kuwaita kazini moja kwa moja HAKUNA TENA INTAVYUU. SASA kama tume ina tumia hiyo data base kuna sababu gani ya kutangaza hizo nafasi za kazi za uhasibu na ukaguzi wa fedha . KWANI kitu kinacho tangazwa maanake watu watume application so NINAOMBA tume muondoe huo ubabaishaji wenu kwani muna tumalizia pesa kwa kutuma application kila kukicha wakati nyie muna tumia hiyo data base so BORA MISITANGAZE HIZO NAFASI MPAKA HIYO DATA BASE YENU IISHE.
Hii ina manisha kuwa matangazo yote ya tume yanahusu uhasibu na ukaguzi wa ndani hayafai kutangazwa na yanayo tangazwa yote hayafai kwani tume inatumia data base . hivyo wanajamii tusijisumbue kutma maombi pindi zitokapo nafasi hizi.
NAAMBATANISHA MFANO WA TANGAZO AMBALO TUME WALITOA ALAFU WATU TUKATUMA MAOMBI KUMBE TUKIWA TUNASUBIRI INTAVYUU WATU WAMESHAITWA KAZINI NA WAMEANZA KAZI TANGIA JULAI MOSI .
NAWASILISHA