Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unfortunately nadhani mleta mada hajui kazi ya tumeajira na jinsi gani wanaingiliana kazi na idara nyingine za serikali
Kama kweli unafuatilia Kazi na products zao, i think they have done alot na kazi zinazokua za kindugu zaidi ni zile zisizopitia kwao ( za parastatals nk) mfano BOT, NSSF, PPF, BIMA,
Mkuu, assume tungekua hatuna tumeajiri, nani angecontrol level ya ***** katika halmashauri zetu??? Hivi unajua kwamba hali ni mbaya sana huko local government???ufinyu wa upeo. Hiv unafikiri kwamba watu hawajui kinachoendelea. Watu zaidi ya 700 wanafanya mtihani wanamaliza saa saba. Saa kumi na moja taraya wameshasaisha wamepanga wameingiza kwenyd tovuti. Ukiangalia ulicho fanya marks ni irrelevant. Anather breucratic insititution created to protect interest of gvt leaders

Mkuu, assume tungekua hatuna tumeajiri, nani angecontrol level ya ***** katika halmashauri zetu??? Hivi unajua kwamba hali ni mbaya sana huko local government???
Kuhusu ufinyu wa upeo, nadhani wewe na wa kwenu wote ndio mna ufinyu wa upeo, sio kila mnaetofautiana mtazamo ana ufinyu wa mawazo... kuhusu marks, sikutaka marks na sitegemi marks kwenye hoja na mijadala
as for bureaucracy, yes, but with the current local governments, i would let them hire - tungerudi kulekule, kwa kwimba anaajiri wakwimba, wa namtumbo anaajiri namtumbo nk
View attachment 69009
We unatumia kibuyu kufikiri
Mmeamua kuajiri hapo Tume ili kutengeneza njia nyeupe kwa mabwana zenu wanasiasa kuwaingiza vimada na shemeji zenu!!!
Angalia utumbo wa majibu unayotujibu?!!! Wafanyakazi wengine ni janga la Taifa, bora usingesoma!!!
Vijana ni muda kuamka, tunataka justice kwenye employment. Hakuna wenye hati miliki na nchi hii
acha hizo mkuu mimi mbona nimeshaitwa kwenye interview nying tu za utumishi! kuanzia april mpaka leo kama 5 hivi
au wewe uliomba ukurugenzi mkuu!
sidhani kama ni mkosi maana!nilizo attend ni mbili tu na zote nilifika mpaka interview ya mwisho! alafu nyingine nilipotezea kwenda sababu ya packages na reputation ya hiyo institution,seniority levelduh,kweli na wewe una mikosi,zote hizo na hakuna hata moja uliopata?:target::target::target: