Tume ya ajira tanzania

Tume ya ajira tanzania

kintunu

Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
11
Reaction score
0
kuitwa kwenye usaili watu zaidi ya 5000 kwa post 100 je kuna uhalali hapo?au ni kutaka kuwasubua abiria ambao hata nauli ya kuhadhuria huo usaili wanakopa,Tume inatakiwa ifanye kazi kiumakini na cyo kuwatesa wahitimu wa vyuo.
 
Si hivyo tu , katika usaili huu Audit mtarajiwa kuulizwa na mambo ya uchumi inasaidia nini ? /kuboresha kitu gani ?
 
Ni vizuri kuwaita wote, System kama hii imekuwa inatumiwa sana India, Inapunguza malalamiko na inaongeza uwezekano wa kutompendelea mtu yoyote.
 
Umenikumbusha interview ya NSSF mwaka jana tuliitwa watu 1500 kwa post 10 tu. Nilikuwa Zanzibar ikabidi nifunge safari kuhudhuria, tulijaza Diamond Jubilee Hall, ilikoishia wanajua wao wenyewe! Kwakweli wangekuwa wanachuja huko huko kupunguzia watu gharama
 
Sitting and other allowances are directly proportional to the number of candidates to be interviewed!
 
Wabongo huwa hatuna Malengo!
Auditor anatakiwa atestiwe kama ufahamu wa mbinu za Ukaguzi na si kumuuliza kila Kitu!
Tume ya Ajira nayo Mkweche!
 
Si hivyo tu , katika usaili huu Audit mtarajiwa kuulizwa na mambo ya uchumi inasaidia nini ? /kuboresha kitu gani ?

swala la "VALUE FOR MONEY AUDIT" auditor anapaswa kuangalia mambo matatu yaani efficiency, effectiveness na economy. auditor siyo kuangalia cash book tu ni zaidi ya hapo tafadhali
 
mbaya zaidi unakuta nafazi 70 tayari zina watu, anyway lakini ni sawa pia coz unaweza ukachuja na kupata 500 watakaoingia 2nd round then 3rd, 5th mpaka best candidates watakapopatikana
 
Jamani mbona hamsemi hayo majina ya watu walioitwa yako wapi nijiangalie nami niliomba kazi huko ndugu zangu, na usali ni lini?
 
hiv kuna uhusiano gani kati ya tume ya ajira na wale jamaa waliopo hapo opposite na cbe hapa dar?wanaitwa labor exchange center ipo chini ya wizara ya kazi?
 
hapo nafasi 95 zinz watu tayari wameita watu wengi ili mjue kuwa kulikuwa na competition
 
Jamani mbona hamsemi hayo majina ya watu walioitwa yako wapi nijiangalie nami niliomba kazi huko ndugu zangu, na usali ni lini?
<br />
<br />
Pole sana, majina yalitangazwa mwanzoni mwa Mwezi July na Interview zimefanyika tar 27 na 28 July. Pole kwa kutokuwa mfuatiliaji maana taarifa ya kuitwa kwenye usahili hata hapa JF ilitolewa.
 
tume inachemka inaita watu wengi sana, nibora kushortlist hata watu 10 kwa post moja, mwezi machi walifanya intaviu watu 56 kwa post moja, hata kama walichemka 50 naamini 6 walifanya vizuri cha ajabu wakatangaza nafasi nyingine tena, sio siri inauzi sana kwani wasomi wananyanyaswa,wakati wao wanaoongeza posho za intaviu. Tunaumia sana waanga wa kazi ingawa tunaamini siku moja mambo yataeleweka ukiwa cha moto umekipata,inaumaaaaaa!!
 
Careful shortlisting of applicants haiwezi kukupa watu zaidi ya 10 kwenye post moja!
 
utakachoshangaa mnaaply wengi mnaofahamiana, lakini hakuna aneyeitwa...........hata mmoja kwenye interview! je huwa wanawachukua wakina nani?
 
Ndo nakaribia kuanza kuyanusa hayo ma interview, sijui nimaliza pair ngapi za SOLE ZA viatu
 
Back
Top Bottom