Tume ya Chande imekataliwa karibu na Jumuiya zote za kimataifa, hakuna atakayeamini matokeo yake

Tume ya Chande imekataliwa karibu na Jumuiya zote za kimataifa, hakuna atakayeamini matokeo yake

UN: The Commission of Inquiry must be independent, ensure accountability, justice, reparations, non-recurrence, and include full participation by victims and civil society.

EU: Any inquiry must be independent, transparent, and inclusive—involving civil society, faith-based groups, and all political actors—to be credible and effective.

US: We urge an Independent and transparent investigations.

Soma Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania

UK: There must be an independent, transparent & inclusive investigation of these events.

AU: The October 2025 elections process was non-compliant with AU democratic principles, normative frameworks, and international standards.

SADC: Tanzanian elections falling short of democratic standards.

Thabo Mbeki Foundation: Tanzania "currently lacks a legitimate government" need for inclusive national dialogue—implicitly questioning government-led mechanisms like the Chande Commission.

Tanzania Opposition parties (e.g., CHADEMA), Activists and Critics have rejected the commission as lacking independence, calling instead for international probes (UN, ICC, or AU-led).

Watanzania: Hawaiamini Tume ya Chande.

Kama Jumuiya zote na Watanzania tumeikataa Tume ya Chande nani atayaamini matokeo yake.
Duh inasikitisha sana Judge mzima anatum
 
Yale hayakuwa maandamano kwa kuwa; (1) hayakuwa na kiongozi (2) hayakuwa na mabango ya kuandika ujumbe (3) haikujulikana yanaanzia wapi na kushia wapi. Instead walikuwa wanachoma miundombinu na kuiba. Wacha ufala
Una uelewa mdogo sana wa mambo
 
Yale hayakuwa maandamano kwa kuwa; (1) hayakuwa na kiongozi (2) hayakuwa na mabango ya kuandika ujumbe (3) haikujulikana yanaanzia wapi na kushia wapi. Instead walikuwa wanachoma miundombinu na kuiba. Walistahili walichopata, Wacha ufala
Hebu tupe sheria inayosema maandamano yanatakiwa kuwa na.

Kiongozi

Mabango

Sehemu ya kuanzia na kuishia.

Mkubali tu kuwa policcm hawana intelijensia yoyote maana ni wazi kuwa wale wote walioonekana wako tayari kuandamana walisakwa na kutekwa wewe ulitakaje umjue kiongozi wa maandamano ili mkamteke?

Ujue watu wanakutania wapi ili mkawateke?

Kwa kutofanya,hivyo vyote vitatu yale maandamano yalifanikiwa na policcm kuonyeshwa hawana intelijensia yoyote ya maana kama ambavyo huwa wanajisifu.

Na ndio maana baada ya hapo wakaanza kufyatua risasi na kuua watu hadi majumbani.
 
Tume ina muuaji namba 2 humo ndani wa kuitwa Stergomena Tax.

Yaani mtu aliyekua kwenye chain ya command tarehe hizo nae eti tunaambiwa anajichunguza.
 
UN: The Commission of Inquiry must be independent, ensure accountability, justice, reparations, non-recurrence, and include full participation by victims and civil society.

EU: Any inquiry must be independent, transparent, and inclusive—involving civil society, faith-based groups, and all political actors—to be credible and effective.

US: We urge an Independent and transparent investigations.

Soma Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania

UK: There must be an independent, transparent & inclusive investigation of these events.

AU: The October 2025 elections process was non-compliant with AU democratic principles, normative frameworks, and international standards.

SADC: Tanzanian elections falling short of democratic standards.

Thabo Mbeki Foundation: Tanzania "currently lacks a legitimate government" need for inclusive national dialogue—implicitly questioning government-led mechanisms like the Chande Commission.

Tanzania Opposition parties (e.g., CHADEMA), Activists and Critics have rejected the commission as lacking independence, calling instead for international probes (UN, ICC, or AU-led).

Watanzania: Hawaiamini Tume ya Chande.

Kama Jumuiya zote na Watanzania tumeikataa Tume ya Chande nani atayaamini matokeo yake.
Kama hii tume inakubalika, basi watuhumiwa wengine nao wapewe privilege ya kuchagua wapelelezi wa kesi zao ili tuende sawa!
 
Hebu tupe sheria inayosema maandamano yanatakiwa kuwa na.

Kiongozi

Mabango

Sehemu ya kuanzia na kuishia.

Mkubali tu kuwa policcm hawana intelijensia yoyote maana ni wazi kuwa wale wote walioonekana wako tayari kuandamana walisakwa na kutekwa wewe ulitakaje umjue kiongozi wa maandamano ili mkamteke?

Ujue watu wanakutania wapi ili mkawateke?

Kwa kutofanya,hivyo vyote vitatu yale maandamano yalifanikiwa na policcm kuonyeshwa hawana intelijensia yoyote ya maana kama ambavyo huwa wanajisifu.

Na ndio maana baada ya hapo wakaanza kufyatua risasi na kuua watu hadi majumbani.
As long as walidhibiti vurugu ndani ya masaa 24, hizo zingine zitabaki ni stories tu. Ila tujivunie TANPOL na JWTZ yetu, wameonyesha uwezo wa ku deal na wahalifu
 
Shauri yenu, si tunachojua ni kwamba tume iliundwa, ipo na inafanya kazi.
 
As long as walidhibiti vurugu ndani ya masaa 24, hizo zingine zitabaki ni stories tu. Ila tujivunie TANPOL na JWTZ yetu, wameonyesha uwezo wa ku deal na wahalifu
Hebu taja kifungu cha sheria kinachosema

Maandamano lazima yawe na

Kiongozi.

Mabango

Sehemu ya kuanzia na kumalizia.

Siku hizi wahalifu wanakutwa wakiwa banda la mpira na kupigwa risasi?

Siku hizi wahalifu wanakua ndani wamelala zinapigwa risasi madirishani.

Siku hizi wahalifu ni watu wanaotoka kuchukua mahitaji ya kibinadamu wanapigwa risasi?
20260127_081047.jpg
20251103_155637.jpg
Huyu master Tindwa aliyekua amekaa barazani kwake akapigwa risasi nae alikua mhalifu?

Nimeshakugundua wewe ni afande kilaza wa policcm na sasa nakufundisha mjione policcm mlivyo vilaza , kama kweli mngekua na intelijensia hadi leo mngetoa figure za hao wahalifu mliowaua ila sababu ni 0 mmeshindwa sababu katika video na picha zote zilizokua documented hakukua na mtu aliyepigwa risasi alionyesha kiashiria cha uhalifu.

Kasome PGO yenu imesema mhalifu anakamatwa na kuna taratibu za kumkamata kumfikisha kwenye vyombo vya kisheria sio kuua, mlivyo vilaza hata PGO hamsomi na tumeona Lissu juzi hapa kamtoa kijasho afande mwenzenu.

Na kuna somo la public order response and operation standards sijui kama mnafundishwa na kama hamfundishwi ndio matokeo yake haya jeshi limejaa vilaza kuanzia kichwani hadi utendaji na mkiamini CCM ndio nchi wakati nchi sio mali ya chama bali raia wote.
 
Alipaswa kufukuzwa hapaswi kuwepo katika hicho kiako
Halafu naye alikuwepo mjini Geneva katika kikao cha 61 cha February 23 - 3 March 2026 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa UN HRC 61

Jaji Mohamed Chande Othman mwenyekiti wa Tume ya Samia kuhusu October 29, naye akiwa Geneva, anaonekana ana kazi nyingi na kofia kibao kiasi ameacha yale aliyotumwa na Samia ili atumikie wadhifa wake wa Umoja wa Mataifa alipokuwa akitoa muktasari ukiukwaji wa haki na mauaji Sudan.

Si ajabu ndiyo maana wakaomba siku 42 za ziada kukamilisha kazi ya Tume ya Samia maana jaji Mohamed Chande Othman ana majukumu kibao

Geneva, UN
Human Rights Council
February 26, 2026

Sudan | "The situation around El-Fasher exhibits clear hallmarks of genocide by the Rapid Support Forces," the Chair of the Independent International Fact-Finding Mission for the country, Mohamed Chande Othman, told the United Nations Human Rights Council...


View: https://m.youtube.com/shorts/1MbhjpRF0FE
 
Yani lengo lao ovu la ku mu accuse lisu halitafanikiwa uovu wao ilianza na watanzania kuchoka kutekwa na baadae wakalikoroga Kwa Kuiba kura hapo ndio watanganyika wakaamka.
 
Kwani tume ya Chande inawajibika kwa hizo jumuiya za kimataifa? Acheni kulamba viatu vya wakoloni!! Hata wao wana matatizo kibao kama sisi tu!!
Tanzania sio kisiwa kuwa inaweza kuishi peke yake bila kushirikiana na jumuiya za kimataifa.
 
Inawezekana vipi watu zaidi ya 10,000 wauwawe? Na wengine wabaki na Vilema vya maisha?
 
Back
Top Bottom