Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Duh inasikitisha sana Judge mzima anatumUN: The Commission of Inquiry must be independent, ensure accountability, justice, reparations, non-recurrence, and include full participation by victims and civil society.
EU: Any inquiry must be independent, transparent, and inclusive—involving civil society, faith-based groups, and all political actors—to be credible and effective.
US: We urge an Independent and transparent investigations.
Soma Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania
UK: There must be an independent, transparent & inclusive investigation of these events.
AU: The October 2025 elections process was non-compliant with AU democratic principles, normative frameworks, and international standards.
SADC: Tanzanian elections falling short of democratic standards.
Thabo Mbeki Foundation: Tanzania "currently lacks a legitimate government" need for inclusive national dialogue—implicitly questioning government-led mechanisms like the Chande Commission.
Tanzania Opposition parties (e.g., CHADEMA), Activists and Critics have rejected the commission as lacking independence, calling instead for international probes (UN, ICC, or AU-led).
Watanzania: Hawaiamini Tume ya Chande.
Kama Jumuiya zote na Watanzania tumeikataa Tume ya Chande nani atayaamini matokeo yake.
Una uelewa mdogo sana wa mamboYale hayakuwa maandamano kwa kuwa; (1) hayakuwa na kiongozi (2) hayakuwa na mabango ya kuandika ujumbe (3) haikujulikana yanaanzia wapi na kushia wapi. Instead walikuwa wanachoma miundombinu na kuiba. Wacha ufala
Hebu tupe sheria inayosema maandamano yanatakiwa kuwa na.Yale hayakuwa maandamano kwa kuwa; (1) hayakuwa na kiongozi (2) hayakuwa na mabango ya kuandika ujumbe (3) haikujulikana yanaanzia wapi na kushia wapi. Instead walikuwa wanachoma miundombinu na kuiba. Walistahili walichopata, Wacha ufala
Kama hii tume inakubalika, basi watuhumiwa wengine nao wapewe privilege ya kuchagua wapelelezi wa kesi zao ili tuende sawa!UN: The Commission of Inquiry must be independent, ensure accountability, justice, reparations, non-recurrence, and include full participation by victims and civil society.
EU: Any inquiry must be independent, transparent, and inclusive—involving civil society, faith-based groups, and all political actors—to be credible and effective.
US: We urge an Independent and transparent investigations.
Soma Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania
UK: There must be an independent, transparent & inclusive investigation of these events.
AU: The October 2025 elections process was non-compliant with AU democratic principles, normative frameworks, and international standards.
SADC: Tanzanian elections falling short of democratic standards.
Thabo Mbeki Foundation: Tanzania "currently lacks a legitimate government" need for inclusive national dialogue—implicitly questioning government-led mechanisms like the Chande Commission.
Tanzania Opposition parties (e.g., CHADEMA), Activists and Critics have rejected the commission as lacking independence, calling instead for international probes (UN, ICC, or AU-led).
Watanzania: Hawaiamini Tume ya Chande.
Kama Jumuiya zote na Watanzania tumeikataa Tume ya Chande nani atayaamini matokeo yake.
Kwa mawazo yako uko sawa. Ila bila kuwadhibiti wale MAHAYAWANI sasa hivi ingekuwa ni Sudan nyingine.Una uelewa mdogo sana wa mambo
As long as walidhibiti vurugu ndani ya masaa 24, hizo zingine zitabaki ni stories tu. Ila tujivunie TANPOL na JWTZ yetu, wameonyesha uwezo wa ku deal na wahalifuHebu tupe sheria inayosema maandamano yanatakiwa kuwa na.
Kiongozi
Mabango
Sehemu ya kuanzia na kuishia.
Mkubali tu kuwa policcm hawana intelijensia yoyote maana ni wazi kuwa wale wote walioonekana wako tayari kuandamana walisakwa na kutekwa wewe ulitakaje umjue kiongozi wa maandamano ili mkamteke?
Ujue watu wanakutania wapi ili mkawateke?
Kwa kutofanya,hivyo vyote vitatu yale maandamano yalifanikiwa na policcm kuonyeshwa hawana intelijensia yoyote ya maana kama ambavyo huwa wanajisifu.
Na ndio maana baada ya hapo wakaanza kufyatua risasi na kuua watu hadi majumbani.
Hebu taja kifungu cha sheria kinachosemaAs long as walidhibiti vurugu ndani ya masaa 24, hizo zingine zitabaki ni stories tu. Ila tujivunie TANPOL na JWTZ yetu, wameonyesha uwezo wa ku deal na wahalifu
Waliuwawa ili kura fake ziweze kuhalalishwa.Kuwaua waharibifu wa miundombinu ya Serikali ilikuwa ni jambo la lazima. Yale hayakuwa maandamano, hata wangekuwa 10 as long as wanachoma miundombinu na kuiba mali za watu, risasi ilikuwa ni halali yao
Halafu naye alikuwepo mjini Geneva katika kikao cha 61 cha February 23 - 3 March 2026 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa UN HRC 61
Jaji Mohamed Chande Othman mwenyekiti wa Tume ya Samia kuhusu October 29, naye akiwa Geneva, anaonekana ana kazi nyingi na kofia kibao kiasi ameacha yale aliyotumwa na Samia ili atumikie wadhifa wake wa Umoja wa Mataifa alipokuwa akitoa muktasari ukiukwaji wa haki na mauaji Sudan.
Si ajabu ndiyo maana wakaomba siku 42 za ziada kukamilisha kazi ya Tume ya Samia maana jaji Mohamed Chande Othman ana majukumu kibao
Geneva, UN
Human Rights Council
February 26, 2026
Sudan | "The situation around El-Fasher exhibits clear hallmarks of genocide by the Rapid Support Forces," the Chair of the Independent International Fact-Finding Mission for the country, Mohamed Chande Othman, told the United Nations Human Rights Council...
View: https://m.youtube.com/shorts/1MbhjpRF0FE
Tanzania sio kisiwa kuwa inaweza kuishi peke yake bila kushirikiana na jumuiya za kimataifa.Kwani tume ya Chande inawajibika kwa hizo jumuiya za kimataifa? Acheni kulamba viatu vya wakoloni!! Hata wao wana matatizo kibao kama sisi tu!!
Mtuhumiwa wa mauaji ndiye kaunda tume na ndiye atakabidhiwa repoti ya tume mwisho wa kunukuu.Shauri yenu, si tunachojua ni kwamba tume iliundwa, ipo na inafanya kazi.